Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

hongera kwa kupata wachumba wawili,funga nao ndoa wote.
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

the last tym I checked the definition ya uchumba,it is IMPOCAN'T (Impossible n Can't happen) for one kuwa na wachumba wawili. wapenzi wawili labda.
kwa habari ya ndoa tunaingia na watu tunaowapenda sio tunaofikiri tunawapenda. so wabwage wote kama vipi na usubiri,anaekupenda bado hamjaonana...
 
Sasa kama sio umalaya tuseme nini?
Mwanamke kiruka njia wewe?
 
funga nao ndoa wote wawili.....

Sie hatuwajui, wala hatujui wasifu wao tutakushaurije?
 
Fanya kama refa wa soka mwanzoni wa mechi ya mpira, rusha coin.
 
Waulize kama watakubali mitala reverse, uwaoe wawili wote, maana si unawapenda wote sawasawa?

Kama inawezekana kwa mwanamme kuoa wake wawili kwa nini isiwezekane kwa mwanamke kuoa wanaume wawili?

bravo! Mfumo jike unaruhusu kuolewa na waume wawili go ahed. Bt na hao wachumba zako wanapiga anaanado omba mungu ikuangukin wewe.
 
c kweli u cant be in love with 2 guys at the same time, naamini yupo umpendaye kwa dhati between those 2, mwingine utakuwa unaangalia features alizo nazo like physical appearance,income,position in society or his job and the like, then wafall in love na hizo features, but real love utakuwa wampenda m1 kati ya hao wawili nawe walifahamu hili fika, ila kinachokutatiza ni picha ya feature uipigayo na hao 2 lovers u have.uamuzi ni wako kuchoose better future 4 ur kids or kuchoose true love of ur life, and trust me usimake mistake ya kufall for material things utajajuta for the rest of ur life.future yatafutwa nanyi nyote, that is what i belive my self.so akili kichwani mwako kwani we ndo muolewaji na challenges za ndoa utazipata wewe sisi wengine ni third parties tu.
 
Kama we in binti funga nao wote mmoja 'mbele' mwingine 'nyuma'
 
Umedhihirisha kitu kimoja. Huna msimamo na unawapa uroda wote wawili...hiii ni hatari sana kwa maisha ya sasa. Cha msingi chukua uamuzi sahii mapema kabla maji hayaja mwagika coz utashangaa unawakosa wote wawili pindi wakikugundua kua kumbe sio muaminifu. Maana lazima kuna mmoja wakwanza ulie anzanae, then akaibuka huyo mwingine nayeye uka mkubari...jitathmini mwenyewe unamapungufu gani.
 
Una matatizo, ubakuwaje na wachumba wawili? Utavuna unachopanda.


Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?
 
Angalia moyo wako unampenda yupi zaid!!!coz huwezi penda watu wawil kwa kipimo sawa hata cku moja!!!lazima yupo mmoja unaemfeel zaid!!
 
wala usiolewe...wee endelea kuwatumia tuu sii ndio dhumini lako ndio mpaka ukaishia kuwa na wachumba wawili
 
Dr.Mwenyewe kabla ya tiba mbadala lazima aulize historia ya tatizo lako, FUNGUKA! Chezea life wewee!
Hebu jibu maswali yafuatayo kisha utamjua ni nani anakufaa.
1.Yupi unajisikia furaha sana ukiwa naye out?
2.Yupi hukusikiliza kwa makini na kuwa na tym na wewe?
3.Yupi unajivunia kwa alichokufanyia ktk uhusiano wenu?
4.Yupi uki ahirisha kutoka naye hujisikia vibaya na kufuatilia uliko kwa ukaribu?
5.yupi akikupigia simu unamfeel?
6.Yupi akikuhug yo feel ....OMG...Waoooooooo!
7.Yupi ana mkwanja wa kukutunza bila wasiwasi?
8.Yupi yupo commited?
9.yupi yupo wazi kwako na upo huru kumweleza yote kama rafiki yako?
10.Yupi siyo kiruka njia? kupitia simu si unajua????????????

JIULIZE TUKO WANGAPI?
TULIZANA.......................
 
Back
Top Bottom