Sijui niolewe na yupi kati ya hawa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lillies, Oct 2, 2012.

 1. lillies

  lillies Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?
   
 2. C

  CAY JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mmmh!Chukua hatua inahusika sana hapo.
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  karibu sana JF, funga na wote!
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Huu kama si umalaya tukuite jina lipi zuri zaidi? wacha kucheza na fillings za binadamu mwenzako.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sisi tunawajua......?
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Waulize kama watakubali mitala reverse, uwaoe wawili wote, maana si unawapenda wote sawasawa?

  Kama inawezekana kwa mwanamme kuoa wake wawili kwa nini isiwezekane kwa mwanamke kuoa wanaume wawili?
   
 7. b

  bariadi2015 Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yule uliyekuwa naye jana akuoe huyohuyo,kama wote ulikuwa nao hapo chacha.
   
 8. T

  Tewe JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  tamaa mbele mauti nyuma
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mwanamke mkuu...mi naona kama vipi aolewe na wote, si kachumbiwa kotekote!
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Unajua kuna wakati huwa napata shida sana kutoa ushauri, huwa nahisi kama kuna baadhi ya waleta thread wanafanya masikhara hivi
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Nakushauri uolewe na MWENYE FUBA ZA KUTOSHA!!! LOL! Manake inaonesha wewe ni kama mimi, POCHI MBELE, ndo maana umediversify PORTIFOLIO yako! LOL! Sasa ili udumu kwenye ndoa lazima FUBA liumike sana, na utaendelea na mambo ya MAFIGA MATATU na VIDUMU huko ndo utapata furaha. By any chance kama huyo mmoja utakaemuacha ana FUBA la kutocha, niunganishe nae manake NARECRUIT MIZOMBIII, upyaaa uchumi umeyumba!!! LOL!!!
  (DNT JUDGE ME!!! UJASIRIAMALI UMENISHINDA SASA NAJASIRIAMWILI MWANZO MWISHO! lol!) Nani Kanuna?
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Zama gugo.....keywords: 'niolewa na yupi'
   
 13. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kama unaishi Dar rahisi mmoja funga nae ndoa mkae Temeke, huyo wapili funga nae ndoa uishi nae KINONDONI, kwisha baki juhudi binafsi kuhudumia
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  kwa nini humuamini? Wanaume wengi sana wanakuwa.na wanawake kadhaa wakati wanajipanga kuoa. Na ukiona mtu ameenda kulipa mahari kule ujue kuna mahali either mdada yuko kwenye shock or else hajui kama keshaachwa. Wengi tu wadada boyfriends wao wanaenda kuoa na yeye anakuwa hajui. Kwa nini unadhani women cant do the same? What goes around comes around, hakuna kitu kibaya kama kuumiza moyo wako hadi upate ganzi. Na ganzi ya moyo wa mwanamke haiponi aisee!
   
 15. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  childish and useless question.
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah lara 1 umenifurahisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  heheheh, khabari yake google bana! Afu jf unajua nako ni kagugo flani eeh? Sijui nilale ama nikeshe?
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Naelewa ni mwanamke.

  Akikubaliana na wote anakuwa "anawaoa" waume tena, sio anaolewa.
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  waoe wote manake sisi hatuwajui
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,755
  Trophy Points: 280
  "Nawapenda wote"

  sijajua moyo wako ni aina gani?
  Hakuna moyo wenye nafasi za watu wawili labda ziwe tamaa tu!

  Ulipo nishangaza zaidi nipale ulipo sema unaomba" ushauri kwa wana jf umuoe nani kati ya hawa", me nikadhani utawatolea ufafanuzi kidogo kila mmoja, lakini imekuwa kinyume.
  Hapo ndipo nilipo amini your not serious
   
Loading...