Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

Mmmmmmh

Hahahaaaaa! Nakushauri uolewe na MWENYE FUBA ZA KUTOSHA!!! LOL! Manake inaonesha wewe ni kama mimi, POCHI MBELE, ndo maana umediversify PORTIFOLIO yako! LOL! Sasa ili udumu kwenye ndoa lazima FUBA liumike sana, na utaendelea na mambo ya MAFIGA MATATU na VIDUMU huko ndo utapata furaha. By any chance kama huyo mmoja utakaemuacha ana FUBA la kutocha, niunganishe nae manake NARECRUIT MIZOMBIII, upyaaa uchumi umeyumba!!! LOL!!!
(DNT JUDGE ME!!! UJASIRIAMALI UMENISHINDA SASA NAJASIRIAMWILI MWANZO MWISHO! lol!) Nani Kanuna?
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

Maelezo yako HAYAJITOSHELEZI, sasa tukwambie uchague yupi wakati hujatupa choice???
 
mbona hauleweki Lilie? mh!I'm not supposed to love you, I'm not supposed to care
I'm not supposed to live my life, wishing you were there
I'm not supposed to wonder where you are or what you do
I'm sorry I just can't help myself, I fell in love with you

Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?
 
Hahahaaaaa! Nakushauri uolewe na MWENYE FUBA ZA KUTOSHA!!! LOL! Manake inaonesha wewe ni kama mimi, POCHI MBELE, ndo maana umediversify PORTIFOLIO yako! LOL! Sasa ili udumu kwenye ndoa lazima FUBA liumike sana, na utaendelea na mambo ya MAFIGA MATATU na VIDUMU huko ndo utapata furaha. By any chance kama huyo mmoja utakaemuacha ana FUBA la kutocha, niunganishe nae manake NARECRUIT MIZOMBIII, upyaaa uchumi umeyumba!!! LOL!!!
(DNT JUDGE ME!!! UJASIRIAMALI UMENISHINDA SASA NAJASIRIAMWILI MWANZO MWISHO! lol!) Nani Kanuna?

Jamani mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

Tiririka mama, funguka kwa kutoa detail zao, ila kumbuka mtaka nyingi nasaba......
 
mbona hauleweki Lilie? mh!I'm not supposed to love you, I'm not supposed to care
I'm not supposed to live my life, wishing you were there
I'm not supposed to wonder where you are or what you do
I'm sorry I just can't help myself, I fell in love with you

Hahahaaaaaa! Ukistaajabia ya Musa utayaona ya Manoah!!!!
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

Daaah nilidhani umewabandika hapa, sasa mimi nitakushaurije kama sijawaona? yani haya umetupa fumbo 1 na 2 ipi bora? mimi nasema 1 ndio nzuri.
 
Dunia inamambo kweli haya bana nenda moyo wako ulipo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hahahaa when the arrow is shooted on the other side you can see how men react Kiranga umenifurahisha
 
Last edited by a moderator:
Utashauriwa bila kutoa characteristics za hao wachumba?Kama unataka ushauri anika characteristics zao hapa.Na hata hivyo bila kumshirikisha Mungu utaingizwa mkenge.Yapo mengi ya sirini ambayo mwanadamu wa kawaida hawezi kuyajua.Ni Mungu tu anayeweza kuyajua.

Back
Top Bottom