Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
Miezi miwili mama ndio maana majibu sikuyapata,na nilivyokuja kuipitia nikakuta ndefu kama Treni..
Ha ha uliipata kule kwa wazee wazima ilikuwa ndefu sana acha kabisa huwezi kuimaliza
Miezi miwili mama ndio maana majibu sikuyapata,na nilivyokuja kuipitia nikakuta ndefu kama Treni..
Mbona unaanza kuweka mipaka sasa..??
Au hutaki niendelee kukuomba..??
Jamani,
mtafia vifuani.
Unataka kunichungulia?
Ntakumeza.
Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze yupi ..??Najua kabisa Madame B yuko na mwanasheria ruttashobolwa beibe nasty yuko na Judgement,wake zake Asprin nao nawatamani na sijui nimtongoze yupi charminglady wala sikuwa na habari naye kipindi anamkataa hommie wangu wakati ndio sasa lakini toka atangaze uchumba na C6 basi roho inanienda mbio juu yake Arabela wala nilikuwa simfikirii,lakini toka nigundue kuwa yuko na zubedayo_mchuzi basi mimi hoi..ni nini hiki jamani wandugu..??
hahahaaa. Pole
shosti nimekumiss. Shem hajambo? Dah nina majonzi wamgu kapigwa ban
Asante mama kumbe unakuwaga na huruma wakati mwingine eeenh..
Shost siaminiii!!!
Shemeji yangu kala Ban???
Ilikuwaje jamani!!
Majukwaa mengine hayafai jamani.
Nitam-misije,
Subiri nimwambie Shem wako Amfuate.
madame b mkamate uongo huyo. Himo na tarakea ni wapi na wapi? Ruttashobolwa njoo huku chap.
Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze yupi ..??Najua kabisa Madame B yuko na mwanasheria ruttashobolwa beibe nasty yuko na Judgement,wake zake Asprin nao nawatamani na sijui nimtongoze yupi charminglady wala sikuwa na habari naye kipindi anamkataa hommie wangu wakati ndio sasa lakini toka atangaze uchumba na C6 basi roho inanienda mbio juu yake Arabela wala nilikuwa simfikirii,lakini toka nigundue kuwa yuko na zubedayo_mchuzi basi mimi hoi..ni nini hiki jamani wandugu..??
labda holili yeye anaita tarakea..
Dharau gani wewe?
MTAFIA VIFUANI!!
ndugu yangu hilo ni pepo la ngono omba uelekezwe kwa mganga akakupunge huyo pepo
Pepo tena...???
Jamani nimeshasema nilikuwa natokea Holili nikalala Himo kuelekea Tarakea sasa hapo kuna shida gani..?