Sijui nina ugonjwa gani..?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui nina ugonjwa gani..??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by St. Paka Mweusi, Sep 2, 2012.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze yupi ..??Najua kabisa Madame B yuko na mwanasheria ruttashobolwa beibe nasty yuko na Judgement,wake zake Asprin nao nawatamani na sijui nimtongoze yupi charminglady wala sikuwa na habari naye kipindi anamkataa hommie wangu wakati ndio sasa lakini toka atangaze uchumba na C6 basi roho inanienda mbio juu yake Arabela wala nilikuwa simfikirii,lakini toka nigundue kuwa yuko na zubedayo_mchuzi basi mimi hoi..ni nini hiki jamani wandugu..??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Kama una hamu ya kufia jela, jaribu kumtongoza mke wa mwanasheria.
  Na hatutokutoa milele.
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nlitaka kusema tamaa lakini baada ya kuona hayo majina nikagundue sina majibu ya chit chat,ngoja ntembee kwingne,
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Halafu kila siku huwa najiuliza Preta ana mtu wake au yuko singo...nashindwa kujua na sijielewi kama naye namtamani au nampenda,ila nikishajua nitadhihirisha..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  We nianze tu,halafu kila siku najiuliza na sikumbuki,au wewe ni yule niliyelala naye pale Himo wakati navizia kuvuka kwenda Tarakea kupeleka mahindi ya magendo...
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.


   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  HAPANA,
  Yule ni Pacha wangu.
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Ish ni hivyo kumbe au utakuwa ni yule aliyeniibia mtaji wangu Kahama wakati nilipoenda kununua dhahabu maana walikuwa wanafanana kweli..? Leo navunja ukimya mpaka nikujue wewe ni yupi..
   
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  madame b mkamate uongo huyo. Himo na tarakea ni wapi na wapi? Ruttashobolwa njoo huku chap.
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Tena ataozea jela asipoangalia!!
  Me ndo Muke ya Lawyer bhana!!
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Kaka uongo wangu unatokea wapi si nilikuwa natokea Holili nikalala Himo kusubiria njia...au napo nimedanganya..??
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Leo lazima nitajua tu hata ukinitishia mumeo ruttashobolwa,au wewe ni yule wa kibaigwa wakati nanunua mahindi akanisingizia mimba..??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Nikiachika tu nakuja kuishi kwako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Niyatunze maneno haya fo fyucha yuzi sio siku unaachika nakukumbusha unanikataa....
   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hee!!
  Utaweza?
  Mziki mnene huu,CD 990,
  wa kuucheza ni Ruttashobolwa peke yake.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,826
  Trophy Points: 280
  Siwezi kumuacha, utasubiri sana.
  Naona unaanza kuchezea moto!

   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Wanawake mna shida kweli yaani ndio alivyokudanganya kuwa anaweza kuucheza yeye tu..??Lakini kabla sijaamua kuanza kukutongoza nataka kujua tulikutana wapi alkini..~?Au wewe ni yule wa Ilula nilipokwenda kukusanya nyanya ukaning`ang` ania turudi wote Dar
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ndo mana yake.
  Mwambie huyo hubby wangu,
  Hapa haachwi wala haachiki mtu. Atasubiri sana Meli Airport!!
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Utamuacha tu si siku nikishachoka kufanya siri nakuruhusu tu utufumanie yaishe
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Nawe mama unamsapoti kabisa mumeo nikumbushe basi ilikuwa wapi alakini..??
   
Loading...