Sijui nina ugonjwa gani..??

Acha tu shostisto cacico,
unajua huyu St. Paka Mweusi anataka arudi kwa nguvu alipotoka,
sasa ndio nampa kubwa hapa.
Unafikiri ana ubavu?
Aisee mumeo Asprin nimemuona kapita na jimama wameelekea Family Bar kula Vyuku na Biere.
Fyatanga kama kawa,
mbuzi choma na chipsi rosti,
utan'taka?

Madame B kiukweli mi naweza kabisa hata kama wananiita Dogo..
 
Last edited by a moderator:
Nakudanganya.
Nilikuwa nakupima.
Kumbe unaogopa hvo?
Loo!!
Kweli ukubwa wa pua, Si wingi wa Makamasi.

Utani mbaya huo kwenye mambo siliasi kama haya...
Nikajua mwanasheria kabwaga manyanga,ok basi tuanze upya
 
wapenda wake za watu watakufanya vibaya shauri yako kumbuka mke wa mtu ni sumu usijaribu chombeza yatakuja yakukute usiyoyategemea
 
Utani mbaya huo kwenye mambo siliasi kama haya...
Nikajua mwanasheria kabwaga manyanga,ok basi tuanze upya

Uanze upya na nani?
Ushawahi kumuona mtu aliyehamishiwa nyeti usoni?
Sasa jaribu.
Hv mbona unatapatapa na wake za watu?
Unajua alikonitoa ruttashobolwa?
 
Last edited by a moderator:
Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze yupi ..??Najua kabisa Madame B yuko na mwanasheria ruttashobolwa beibe nasty yuko na Judgement,wake zake Asprin nao nawatamani na sijui nimtongoze yupi charminglady wala sikuwa na habari naye kipindi anamkataa hommie wangu wakati ndio sasa lakini toka atangaze uchumba na C6 basi roho inanienda mbio juu yake Arabela wala nilikuwa simfikirii,lakini toka nigundue kuwa yuko na zubedayo_mchuzi basi mimi hoi..ni nini hiki jamani wandugu..??
hujipendi wewe,tongoza The secretary uone kama sijakugeuza uso ukaangalia kisogoni.
 
Last edited by a moderator:
Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze yupi ..??Najua kabisa Madame B yuko na mwanasheria ruttashobolwa beibe nasty yuko na Judgement,wake zake Asprin nao nawatamani na sijui nimtongoze yupi charminglady wala sikuwa na habari naye kipindi anamkataa hommie wangu wakati ndio sasa lakini toka atangaze uchumba na C6 basi roho inanienda mbio juu yake Arabela wala nilikuwa simfikirii,lakini toka nigundue kuwa yuko na zubedayo_mchuzi basi mimi hoi..ni nini hiki jamani wandugu..??

Nikiwa tanga niliona waganga wa kule wame advance,nje ya ofisi zao kuna bei za tiba.
upele wa 700,
Busha la 500,1000,1500.
Tetekuwanga bei 650,
Majipu huwa ni nyongeza...ukija anga zangu uwe unakumbuka menyu hyo.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa tanga niliona waganga wa kule wame advance,nje ya ofisi zao kuna bei za tiba.
upele wa 700,
Busha la 500,1000,1500.
Tetekuwanga bei 650,
Majipu huwa ni nyongeza...ukija anga zangu uwe unakumbuka menyu hyo.

Hahahahahahahahahaha,punguza hasila basi si mpaka nikichoka ndio utajua..
 
Back
Top Bottom