sijui ni ushamba wangu ama...

sijui ni ushamba wangu ama...

Du! watu8 umesomea wapi kutambua umri wa mtu kwa kuangalia kiganja? umri mdogo unamaanisha miaka mingapi hivi? hiyo picha niliipiga juzi tayari nikiwa na miaka 13 ndoani, ha haaaaaa

nimeiangalia kwa makini tu ngozi yako, nikatazama mikunjo yake nikagundua kiumri bado si mkubwa sana na sasa unasema umekuwa ndoani miaka 13 ndio wanifanya niamini kuwa kweli uliolewa ukiwa mdogo
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeeh!
mimi mume wangu huwa ananitambulishaga atakavyojisikia, siku nyingine utasikia huyu ni girlfriend wangu, siku nyingine huyu mchumba........... watu wanatutamanije!
hao wa hivyo utawasikia wamawatambulisha wake zao, huyu mama naniii..... lol!
shurti kuitana kipet pet bana!hiyo poa sana!mambo ya huyu ni mama sijawezi ya wapi bana!vile unamuaddress mtu ndivyo vile unamchukulia kihisia !kamwali za dominika ya mavuno?wenye mwezi wa mama huu!
 
Mwalimu!
 
Kuna wengine wanavaa kidole cha kati, na wengine kile cha pili kutoka mwisho! So, kuna tofauti yeyote au??
 
shurti kuitana kipet pet bana!hiyo poa sana!mambo ya huyu ni mama sijawezi ya wapi bana!vile unamuaddress mtu ndivyo vile unamchukulia kihisia !kamwali za dominika ya mavuno?wenye mwezi wa mama huu!

mbona unawakana wanao...mkiwa chumbani ndio asikuite mama flani, lakini nje kwa jamii jina mama flani na baba flani yanahusika sana.
 
siwakani my dear!napeda sana watu wengine waniite mama fulani lakini mume wangu hapana!na huwa tunaitana majina yetu au pet name zetu toka tunakua,hizi ni kwenye public
tukiwa chumbani huko ndo zile za kwenye shuka kabisa si unajua!
 
yaani sisi hayo majina ya mama fulani/ baba fulani tumewaachia majirani na ndugu, sisi hatuyajui kabisaaaaaaaaaaaaaa. tunajua tuna watoto lakini majina yao hayahusiki kwenye kuitana
 
shurti kuitana kipet pet bana!hiyo poa sana!mambo ya huyu ni mama sijawezi ya wapi bana!vile unamuaddress mtu ndivyo vile unamchukulia kihisia !kamwali za dominika ya mavuno?wenye mwezi wa mama huu!
Umeona eeeh mlongo wangu........ majina yanahusika sana
Dominika nahambili kumisa ya lukela. mwezi wa mama huu tisali Rosali kwa kwenda mbele.
wamuyangu uyendelela wuli na familiya?
 
nimeiangalia kwa makini tu ngozi yako, nikatazama mikunjo yake nikagundua kiumri bado si mkubwa sana na sasa unasema umekuwa ndoani miaka 13 ndio wanifanya niamini kuwa kweli uliolewa ukiwa mdogo
sijajua huo umri wako mdogo ni miaka mingapi, for sure not under 18, lol!
kuna wengine tangu tumeolewa mpaka leo hatujawahi kubadilika, mabadiliko yanakuja miezi 4 ya mwisho ya ujauzito then baada ya kujifungua unarudi ulikokua................ usoni tu najiona nazeeka, lol
 
siwakani my dear!napeda sana watu wengine waniite mama fulani lakini mume wangu hapana!na huwa tunaitana majina yetu au pet name zetu toka tunakua,hizi ni kwenye public
tukiwa chumbani huko ndo zile za kwenye shuka kabisa si unajua!
si unajua wamama ndo wana hayo matabia ya kuitana hayo majina? mama zetu wamefunga midomo yao wenyewe, wametusema weeeeeeeeeeeee wameshindwa.
kuna siku mtoto wangu kamwita jina babake, sababu kaita dad dad dad..... haitikiwi, akatia fulani.... baba mwenyewe kageuka, tulichekaje sasa
 
ahahahaahahaah wala si masikhara lazima iwe hivo,yani kwa kweli soo lovely!
 
Umeona eeeh mlongo wangu........ majina yanahusika sana
Dominika nahambili kumisa ya lukela. mwezi wa mama huu tisali Rosali kwa kwenda mbele.
wamuyangu uyendelela wuli na familiya?

Umesali misa ya asubuhi??? mmmmh......
 
but kikubwa ndoa ni rohoni mwa mtu husika, kuna wenye pete kubwa ka nyungo na bado wana-cheat usipime. naona kuvaa, au kutokuvaa haina tija. kuhusu kuvaaa mbili, nadhani wenzangu wameelezea huko juu. C6 mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom