Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Mwenzenu sijui ni macho yangu tu au ushamba labda.....
nimekutana na hizi picha mahali.....
Eti macho yangu yananiambia hizi picha zote BEFORE ni better than AFTER
sasa najiuliza hiyo deki ni ya kazi gani?
naombeni mwongozo jamani
nimekutana na hizi picha mahali.....
Eti macho yangu yananiambia hizi picha zote BEFORE ni better than AFTER
sasa najiuliza hiyo deki ni ya kazi gani?
naombeni mwongozo jamani
dada yetu huyuuu before n after kudadadeki caro light si bongo tu world wide chezeya kuwa mweupe weweee |
sio vizuri kumsema marehemu ila hapa nakufa mbavu wallahiiii Michael alikuwa kiboko RIP The Greatest Ever Wacko Jacko |
kumbe hata ma supermodel ruksa kujipiga deki ? leo nimewakomesha wale wanaowasema wapigaji deki wa bongo ona sasa majuu mkorogo ni mkorogo uwe wa buku au wa mil jambo ni lile lile mkorogooo |
hivi una mfananisha na nani hapo bongo dsm maana dada kajidadavua eeeh Yesu baba rudiii maana huku hakuna anayetaka kuwa ze black |