Sijui ni macho yangu?

ha haaa, kama najiona nitakavyokalishwa kikao na ukoo, lol!
kyani hasa cha kumpa puresha mzazi mtarajiwa!

eenehehehhehehhehehhehehheh we na weeee!
 
nipo mwaya!
majukumu tu mengi!
af na shem wangu Nicas Mtei ndo ana password yangu ya kuingia humu!sasa ananinyanyasaje nayo!mpka afurahi ndo ananipa mweee!


Umechemsha kumpa Nicas Mtei paswedi yako anaitumia kuombea pesa na michango akisema eti wewe umepata kiinua mgongo hakikutoshi kujenga kwa hiyo wakuchangie
Nivea achana na sosoliso anataka kuingilia mazungumzo ya binamu aise
 
Last edited by a moderator:

Unataka unigombanishe na mke wangu sweetlady?
 
Last edited by a moderator:
Nilikuja fasta rafiki nilidhani macho yako yamerembuka lol!!! Hahahaha....achana nao hao wataka uzuri, ukitaka uzuri shurti udhurike.
ha haaa, unapenda macho yaliyorembuka wewe?
cost yake ni kubwa sana....... shauri yako
 
Unatoa siri za ndani? Mama K ndo alwafunza hvi? FP naomba mwongozo
mdogo wangu snowhite samahani kwa hili, ngoja nimtetee mama K.....
shem hata mimi nimeshangaa..... vya ndani tuliambiwa viishie ndani.......
hata vya sebuleni marufuku kuvikuta kibarazani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…