Sijui ni macho yangu?

Mamndenyi hapa FP na mimi tunapeana maushauri tuu na yeye siku moja asije kumwambia my husband wake kuwa yuko cute au handsome wakati mfukoni hakuna kitu
Kuwa handsome na mfuko utoboke kwa kwenda mbele na uwe na uhakika kwenye uwanja uko fit kama Ronaldo
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, bora umeliweka wazi hili rafiki.....
maana naona nimeshaanza kutolewa mimacho....
mimi ngumi siziwezi, na kama ujuavyo mdogo wangu snowhite kastaafu...
huyo sweetlady sijui kwa nini hakumshirikisha mumewe shem wangu Nicas Mtei amtetee? najua ni mtetezi mzuri sana wa mupenzi wake
 
Last edited by a moderator:


tatizo Nicas Mtei hajiamini na haamini kama bado sweetlady atakuwa wake maana anawaza siku yoyote kinaweza kuota mzizi

Halafu umenikumbusha sijawaona snowhite na cacico na mwalimu wangu gfsonwin nimewamiss sana
 
Last edited by a moderator:
kiwanja bila chapaaa alishasema hata dokiii ni kuwa hakunaga naona FP hili naye atalikubali, FP taratibu lakini.

 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei hawezi kujiamini kwa kuwa alimrubuni binti yangu kisha kalala mbele,
hawa wengine wako kwenye mikakati ya kurudia kusahihisha mitihani,
wanahaha na hela za watu walizopokea wakapitisha majina feki kuwa wamefaulu,
nahisi wengine wameshajisalimisha huko kwa mfunga mikono.

tatizo Nicas Mtei hajiamini na haamini kama bado sweetlady atakuwa wake maana anawaza siku yoyote kinaweza kuota mzizi

Halafu umenikumbusha sijawaona snowhite na cacico na mwalimu wangu gfsonwin nimewamiss sana
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi! sikutegemea kucheka mchana wa leo! naomba niwekee order kwa yule famous dr wako! nataka kubadilisha wowowo langu liwe kubwa, maana huu ubapa unanikosesha market!
 
kwi kwi kwi kwi! sikutegemea kucheka mchana wa leo! naomba niwekee order kwa yule famous dr wako! nataka kubadilisha wowowo langu liwe kubwa, maana huu ubapa unanikosesha market!
ha haaa, dr. wangu ni fundi wa kupunguza wo wo wo...... sasa sijui kama ana zana za kuongezea....
nakushauri mtafute dada white au pacha wangu Nivea wao ndo nawasikiaga wanawatafuta, nadhani watakuwa wanawajua
 
Last edited by a moderator:
tatizo Nicas Mtei hajiamini na haamini kama bado sweetlady atakuwa wake maana anawaza siku yoyote kinaweza kuota mzizi

Halafu umenikumbusha sijawaona snowhite na cacico na mwalimu wangu gfsonwin nimewamiss sana

ngoja aje mwenyewe shem kujitetea na hizi kashfa
 
ha haaa, dr. Wangu ni fundi wa kupunguza wo wo wo...... Sasa sijui kama ana zana za kuongezea....
Nakushauri mtafute dada white au pacha wangu nivea wao ndo nawasikiaga wanawatafuta, nadhani watakuwa wanawajua
mweeeeee twin ulishaona wowowo linabonyea kama mkate haya mwambie casiko atwende
 
Last edited by a moderator:
kiwanja bila chapaaa alishasema hata dokiii ni kuwa hakunaga naona FP hili naye atalikubali, FP taratibu lakini.
hilo watoto wa mujini ndo wanakubaliana nalo......
mimi ukishaingia kwa moyo wangu tu hata kama huna chapaa ntakuona cute, lol!
 
Last edited by a moderator:
Binamu yangu Madame B na mkuu wangu saudari
pole zao sana kwa nini walipokea rushwa wakasahihisha madudu
haya ngoja tuchange change tupate hela ya dhamana aise
kwa nini tuchange? si tumtafute tajiri la cc Bishanga aokoe jahazi?
tena naona mkewe The secretary anachungulia hapo chini.... tufikishie salamu
 
Last edited by a moderator:
HUWA NAWZA SANA MICHAEL JACKSON KAMA SIO HAYO MADAWA ANGEKUWA HAI HAADI WA LEO HII ILA YEYE NDIO FUNGA KAZI KWA KWELI JICHO LIMERENDEMKA MWEEEE
ALAFU WEWE TWINI WANGU FP NIJIBU HAYA MASWALI YANGU!!
Hv kimya chako kinamaanisha nn?
1>Unajiskia uvivu kuwasiliana na mm?
2>Huna salio?
3>Umenichoka?
4>Kazi zimekutinga?
5>haujisikii?
6>Umenisahau?
7>Huna wasiwasi na hali yangu?
8>Umekatazwa?
9>Sistahiki kusalimiwa na ww?
10>Si mazoea yako kunisalimia?

Bas mm cjambo ukipenda nijulishe hali yako mana ukobize sana...! MCHANA MWEMA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…