Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Sijui Mnakwama wapi. Mbona Kiswahili ni Lugha rahisi sana? Mmefundishwa wapi kukosea kifala hivi?
 
Hisia zangu zinanionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa
Maadam ni hisia tuu, you have all the right to your own opinion.
A negative opinion about anyone without any facts to substantiate opinion hiyo, ni chuki tuu, umbeya na majungu!.
Hata hivi sasa namuona akiwa bungeni kwenye hotuba ya bajeti akiwa ni kama mtu ambae hana raha kabisa, ni kama mtu aliyechoka na anajisukuma tu, siioni kabisa hamasa binafsi.
Kiukweli tumejaaliwa macho tofauti tofauti, wengine macho yao yanauwezo wa kuona mtu kama ana raha!.

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, ni PM mpaka 2025.

P
 
We all have the right to our opinions.

We wish him all the best.
 
Sijui zaidi katiba ila nadhani PM anatakiwa awe madarakani 10 only.

Cc Wakili Msomi Pascal Mayala leta ufahamu wako wala sio ushabiki!
 
Reply imetulia sana, you can't outshine your boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…