Sijui kukata kiuno kumridhisha mume wangu

Sijui kukata kiuno kumridhisha mume wangu

Duh me sijajua... Eti nauliza unaweza kwenda twanga pepeta
 
Habari wanaJF,

Mimi ni mwanamke 23yrs nimeolewa na nina mtoto mmoja..

Jamani naombeni msaada wenu jinsi ya kufanya mapenzi kumridhisha mume wangu.

Na je kuzaa kunafanya chini kupanuka?
Acha ushamba......Fanya mazoezi,wanaojua haikuja kwa muujiza ni mazoezi......
 
Let me reserve dis post..i will refer back after 2yrs nadhani nitakuwa tayari with my king
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Habari wanaJF,

Mimi ni mwanamke 23yrs nimeolewa na nina mtoto mmoja..

Jamani naombeni msaada wenu jinsi ya kufanya mapenzi kumridhisha mume wangu.

Na je kuzaa kunafanya chini kupanuka?
Wanawake waliozaa chini kunabana na kuwa normal! Ukikutana na ambao hawajazaa chini hakuna formation ila nyie mliozaa chini kuko poa tyt na kunaongeza radha labda kama ulichanwa sana wakati wakuzaa! fanya mazoezi sana ukiwa mwenyewe hata kwa kucheza mziki swala la kukata kiuno ni jepesi tu anza usiogope
 
Yani wewe mama John ndio nini kuja huku? Mbona huwa naridhika tuu jamani? Au unalako jambo mke wangu?
 
Sasa wakufundisheje kukata mauno? Naona njia pekee ingekuwa kukufundisha practically.
Au nipe namba nikutumie video za mauno ujaribu kujifunza.
 
Kiuno sio kumpagawisha mwanaume. Unatakiwa kua mbunifu wewe mwenyewe ... Kama mwanamke unafanya mautundu yako kitandani style 3 kwenda mbele sio mwanzo mwisho mtu mmekaa style moja hio hio. Pia fanya kegels ukiwa unasex nae..... Hio kitu balaa Pia tafuta mafuta ya mchai chai umpe massage ya ukweli.....mwanaume anapenda kudekezwa , kubembelezwa kama mtoto. Mambo mengine pm me
Kegel during sex?? How? #curious
 
Jamani i really need ur help coz ninaishi urabuni so ningependa kupata ushauri kutoka kwa my old country coz here no one knws how to really satisfy her man....pls i wnt to be the only woman who he is satisfied with..
Kwavile hapo hamna anaejua kumridhisha mwanaume wake haina haja ya kujisumbua atakuwa anaridhika tu na hizo style zako [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Nani kakudanganya kukata kiuno ndi kumridhisha mume? Kukatika inakuja tu automatically tena ni kwa raha zako wala sio mwingine. Swali la pili ni ndiooo, ila inarudi tu maana ni kama mpira vile.
Mfamaji haishi kutapatapa
 
Nafikiri jambo la kwanza kabisa la msingi ni kutokuwa na aibu iliyopitiliza unapokuwa na mumeo, hii itakusaidia kuwa na ujasiri wa kufanya utundu mwingi mnapokuwa ktk tendo la ndoa. Ukweli ni kwamba unaweza kutumia hata kioo cha ukutani, unakiweka sambamba na wewe mumeo awapo kazini, kwakuwa utakuwa peke yako utaweza kubuni mitindo tofautitofauti ya namna utakavyomfanyia mumeo akirejea toka kazini, kumbuka mpangilio na mtiririko mzuri wa kufanya matukio, unaamua mtaanza na lipi, litafuata lipi na lipi litaendelea, namkumbuka sana mtaliano aliyenitoa kaushambaushamba kwenye mambo ya mapenzi aiseee…! amazing! unamfanyia mtu massage tu peke yake hadi akili zinamruka na kama ni mwanamke anaenda hadi raundi tatu au nne halafu kazi ndio inaanza weee…! sio vilio vya mahaba na raha!, utadhani kuna kamsiba ka aina yake. Do not be shy na kadri siku zinavyosogea utazidi kujifunza mengi
 
Kwavile hapo hamna anaejua kumridhisha mwanaume wake haina haja ya kujisumbua atakuwa anaridhika tu na hizo style zako [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Kwamba hata siku akichepuka atakutana na wabovu kama bibie so hataona tofauti sio??? Nimeipenda hiii......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom