Sijui kukata kiuno kumridhisha mume wangu

Habari wanaJF,

Mimi ni mwanamke 23yrs nimeolewa na nina mtoto mmoja..

Jamani naombeni msaada wenu jinsi ya kufanya mapenzi kumridhisha mume wangu.

Na je kuzaa kunafanya chini kupanuka?

We miaka 23 una mume na mtoto...., acha kututania hicho hicho kiasi unachokijua kinatosha sana. Hakika wewe unawazidi zaidi ya nusu ya wanawake, wenzio wapo na miaka 28 hawajaona hata kimoja kati ya viwili tu ulivotaja hapo juu.

Kwa sasa wewe jifundishe namna ya kulea familia vzr, 'mama mzuri anatakiwa awejeee?' Hilo liwe swali lako kubwa.

Usidanganyike na yanayoandikwa humu, mengi ni ya uwongo tu. tulia rudi kwenye uhalisia
 
Niliwahi kusoma sehemu kuwa kama mwanamke anataka kujifunza kukatika basi anakuwa anafanya na kiuno kama anaandika kuanzia namba moja mpaka kumi wakati anagegedwa akimaliza basi anakuwa amekatika vya kutosha
 
Jamani i really need ur help coz ninaishi urabuni so ningependa kupata ushauri kutoka kwa my old country coz here no one knws how to really satisfy her man....pls i wnt to be the only woman who he is satisfied with..
Jifunze kuridhika wewe naye utamridhisha else unacheza makida makida.
 
Habari wanaJF,

Mimi ni mwanamke 23yrs nimeolewa na nina mtoto mmoja..

Jamani naombeni msaada wenu jinsi ya kufanya mapenzi kumridhisha mume wangu.

Na je kuzaa kunafanya chini kupanuka?
Duu, mbona tofauti sana na kichwa cha habari?
 
just concetrate,hakikisha hisia na mawazo yako yote yako pale...utajikuta unaenjoy na kukatika mwenyewe pasipo kujua..ukubwa upana udogo its nothing to worry...ukifanya hayo mtaenjoy nyote naye atafurahia...

let things come natural..ukitaka mbwewe utaharibu...jitahidi usiwe umechoka maake wengine mnalifanya hilo tendo as the last thing ushachoka hoi na mwenzio kachoka...what do you expect...

harafu let nyege drives you,sio unajifanya eti unazicontrol...what for then wakati umeolewa,kwahiyo akija jikoni huko huko kama bafuni huko huko,sebureni huko huko...yaani you will enjoy ends up being pro.
 
Back
Top Bottom