Sijui huu ni mtego au...?

Kifupi umebahatika kupata mchumba asiyependa kukutumia Meseji ya "Bebi nikwambie Kitu"

Huyo anakupenda na angependa atulie na wewe

Kule mtaani Vijana wanasema "Mbuzi Kafia kwa Muuza Supu"
Hahah! Siwezi kuusemea moyo mkuu ila binafsi nampenda sana.
 
Habari wakuu.. Katika harakati za hapa na pale nikakutana na huyu mrembo wa kitanga kabila mzigua. Tumekutana kwenye site ya ujenzi yeye ni chief cooker hapa na mimi ni electrician. She's so cute, mpole na mtu wa dini sana (Muslim).

Kiukweli ukiachilia uzuri alionao nimevutiwa pia na maadili yake. Mtu wa stara muda wote, mchangamfu anacheka na kila mtu na ikifika time ya swala ataacha shughuli zake na kwenda kufanya ibada "I love that"

Mwanzoni sikuwa na ukaribu nae sana zaidi ya salamu tu. Mimi nimepita Madrassa kidogo ingawa si mtu wa dini kivile. Ijumaa moja kama leo baada ya swala sikuwa na kazi hivyo nikaenda eneo tunalolitumia kwa ajili ya chakula nikawa natwarihi Qur'an basi kuna aya nikawa nimekosea ghafla nikasikia sauti nzuri ya kike ikinisahihisha kugeuka nikamkuta ni yeye. Nikatabasamu na kumshukuru basi ukaribu ukaanzia hapo.

Tulizungumza mawili matatu then tukabadilishana namba za simu in case kama kuna changamoto yoyote kwenye chakula basi naweza kumcheck.

Kiukweli si mimi tu niliyekuwa na namba zake ni wafanyakazi wengi tu kwa kuwa utaratibu wa ofisi uko hivyo endapo ikitokea kuna malalamiko yoyote kwenye huduma ya chakula basi hupigiwa chief cooker moja kwa moja. Binafsi mwanzo sikuwa nayo kwa kuwa sikuona tatizo lolote kwenye chakula tangu nifike hapo pia bado nilikuwa mgeni hapo site.

Basi kwa kuwa nilishaanza kuvutiwa nae nikaamua nianze kujenga mazoea nae. Nilianza kwa kumjulia hali mara kwa mara naye akawa anarespond vizuri tu kisha story mbili tatu hasa zinazohusiana na dini then tungeishia hapo. Nilikuwa namvutia timing siku ajae kwenye kumi na nane zangu niyamwage ya moyoni maana nilishamuelewa huyu shombe wa kitanga.

Siku moja nimeingia job najaribu kumcheki oustadhat naambiwa amesafiri kwao Tanga. Wengine wanasema alikosana na boss bibie akaamua aache kazi basi ilimradi tu kila mtu anasema lake kwa masikitiko maana walimzoea sana.

Nilivurugwa nikaamua kumcheck muda ule ule akapokea kisha akaniomba radhi kwa kuchelewa kuniambia sababu safari ilikuwa ya ghafla sana. Akaniambia karudi Tanga ameamua kufungua restaurant yake huko hivyo hakuona haja ya kuendelea kuajiriwa tena.

Nilimuelewa zikapita wiki kadhaa tukiendelea kuwasiliana kawaida. Sasa siku moja nikaamua kumfungukia ukweli. Binti akashangaa kidogo kwa kuwa anadai yeye alinichukulia kama swahiba wa kawaida tu. Nilipomuuliza kama ana mtu akasema hana hivyo nimpe muda ajifikirie.

Baada ya siku kadhaa kupita usiku mmoja akanipigia simu baada salamu za hapa na pale akanikumbushia kuhusu lile ombi langu na kuwa amenikubalia isipokuwa akaniambia yeye ni single mother ana mtoto mmoja. Kuhusu baba wa mtoto alishafariki miaka miwili nyuma hivyo anaishi yeye mwenyewe na mwanawe wa kiume.

Sasa kilichonifanya niandike humu kuomba ushauri ni kuwa jana Alhamisi kanipigia simu anataka niende kwake Tanga. Yeye alijenga pamoja na mumewe na ndio anaishi humo hadi sasa.

Amefika mbali zaidi anasema amenitafutia kazi kwenye kampuni nzuri huko huko Tanga na kwamba nikifika mambo yasiwe mengi nipeleke barua ya posa haraka then ndoa ifungwe. Kiukweli naona imekuwa ghafla sana na nimeanza kuingiwa na wasiwasi kwa kweli.
Mpaka anakwambia baba wa mtoto wake amefariki wewe Ndio ulimuuliza Hilo swali Ndio akajibu hivyo? au amejieza yeye mwenyewe kuwa baba wa watoto wake amefariki?
 
Shehe unakwama wapi
-Umetongoza mwenyewe ukuomba ushauri.
-Umekubaliwa mwenyewe hukutuomba ushauri...
-Genye zako mwenyewe hukuomba ushauri
-Kuna misemo mingi ya wahenga kukuelezea kwa ufupi..
"Fikiri kabla ya kutenda" kwanza ungefikiria kabla ya kuendekeza genye
"Maji ukiyavulia nguo......"
Umeshatongoza umekubaliwa sasa maji lazima uyaoge...Nenda uko Tanga
"Tahadhari kabla ya hatari"
Chukua tahadhari hakikisha unanote kila hatua ya vitendo anavyovifanya ukifika uko..Ulizia majirani tafta masela bodaboda wa maeneo hayo uwa wana-data za mtaa mzima watakupa A-Z

Mwisho:

Kwenye kikao tulikubaliana hakuna kulala geto la jinsia KE kama hujui anaelipia kodi..Ni mwiko kwa mujibu wa katiba ya baharia kifungu cha kukaa kitaalamu mstari wa 5-8

Kila la heri
Nimekuelewa ndugu ila haikuwa na haja ya kutumia kauli zisizofaa.
 
Mkuu jipige kifuani mara 3 sema wewe ni fala...halafu skiza ushauri wangu.Unajua mwanaume kufa ni mara Moja right?Hebu nenda Tanga chap kale hiyo supu,nakuhakikishia kwenye hii sinario the worst that could happen ni kupakwa wese,bt think about it!!! kama ni kweli hayo yote anayosema ukipoteza hii nafasi utajitukana maishani.Jilipue Sheeee.
 
Habari wakuu.. Katika harakati za hapa na pale nikakutana na huyu mrembo wa kitanga kabila mzigua. Tumekutana kwenye site ya ujenzi yeye ni chief cooker hapa na mimi ni electrician. She's so cute, mpole na mtu wa dini sana (Muslim).

Kiukweli ukiachilia uzuri alionao nimevutiwa pia na maadili yake. Mtu wa stara muda wote, mchangamfu anacheka na kila mtu na ikifika time ya swala ataacha shughuli zake na kwenda kufanya ibada "I love that"

Mwanzoni sikuwa na ukaribu nae sana zaidi ya salamu tu. Mimi nimepita Madrassa kidogo ingawa si mtu wa dini kivile. Ijumaa moja kama leo baada ya swala sikuwa na kazi hivyo nikaenda eneo tunalolitumia kwa ajili ya chakula nikawa natwarihi Qur'an basi kuna aya nikawa nimekosea ghafla nikasikia sauti nzuri ya kike ikinisahihisha kugeuka nikamkuta ni yeye. Nikatabasamu na kumshukuru basi ukaribu ukaanzia hapo.

Tulizungumza mawili matatu then tukabadilishana namba za simu in case kama kuna changamoto yoyote kwenye chakula basi naweza kumcheck.

Kiukweli si mimi tu niliyekuwa na namba zake ni wafanyakazi wengi tu kwa kuwa utaratibu wa ofisi uko hivyo endapo ikitokea kuna malalamiko yoyote kwenye huduma ya chakula basi hupigiwa chief cooker moja kwa moja. Binafsi mwanzo sikuwa nayo kwa kuwa sikuona tatizo lolote kwenye chakula tangu nifike hapo pia bado nilikuwa mgeni hapo site.

Basi kwa kuwa nilishaanza kuvutiwa nae nikaamua nianze kujenga mazoea nae. Nilianza kwa kumjulia hali mara kwa mara naye akawa anarespond vizuri tu kisha story mbili tatu hasa zinazohusiana na dini then tungeishia hapo. Nilikuwa namvutia timing siku ajae kwenye kumi na nane zangu niyamwage ya moyoni maana nilishamuelewa huyu shombe wa kitanga.

Siku moja nimeingia job najaribu kumcheki oustadhat naambiwa amesafiri kwao Tanga. Wengine wanasema alikosana na boss bibie akaamua aache kazi basi ilimradi tu kila mtu anasema lake kwa masikitiko maana walimzoea sana.

Nilivurugwa nikaamua kumcheck muda ule ule akapokea kisha akaniomba radhi kwa kuchelewa kuniambia sababu safari ilikuwa ya ghafla sana. Akaniambia karudi Tanga ameamua kufungua restaurant yake huko hivyo hakuona haja ya kuendelea kuajiriwa tena.

Nilimuelewa zikapita wiki kadhaa tukiendelea kuwasiliana kawaida. Sasa siku moja nikaamua kumfungukia ukweli. Binti akashangaa kidogo kwa kuwa anadai yeye alinichukulia kama swahiba wa kawaida tu. Nilipomuuliza kama ana mtu akasema hana hivyo nimpe muda ajifikirie.

Baada ya siku kadhaa kupita usiku mmoja akanipigia simu baada salamu za hapa na pale akanikumbushia kuhusu lile ombi langu na kuwa amenikubalia isipokuwa akaniambia yeye ni single mother ana mtoto mmoja. Kuhusu baba wa mtoto alishafariki miaka miwili nyuma hivyo anaishi yeye mwenyewe na mwanawe wa kiume.

Sasa kilichonifanya niandike humu kuomba ushauri ni kuwa jana Alhamisi kanipigia simu anataka niende kwake Tanga. Yeye alijenga pamoja na mumewe na ndio anaishi humo hadi sasa.

Amefika mbali zaidi anasema amenitafutia kazi kwenye kampuni nzuri huko huko Tanga na kwamba nikifika mambo yasiwe mengi nipeleke barua ya posa haraka then ndoa ifungwe. Kiukweli naona imekuwa ghafla sana na nimeanza kuingiwa na wasiwasi kwa kweli.
Kwa haraka ya namna hyo hta mm ningestuka ila usishangae ile kukuambia afkirie bas alvokuwa anavfkiria ndio hivyo.

Cheza kete zako kama Mwanaume hpo askuzd akili bro.
 
Naamini kuna point muhimu sana tu ambazo umeshindwa kuzitaja hapa, mfano nini ilikuwa reaction yako alipokwambia kuwa yeye ni single mother? Ulimwambia kama hilo sio tatizo na uko tayari kuanzisha mahusiano nae? Kwa ulivyojieleza wewe na yeye inaonyesha nyote ni watu wa dini, jee ni nini ulichomtaka kwake au ulitegemea? ulitaka ndoa au ulitaka kumuasi mungu nae kwanza? Nashangaa ni kwa nini afikie kukutafutia kazi huko kwao bila ya kukushauri wewe kwanza, una hakika hukumpa impression ya kuwa una mpenda sana kiasi cha kuwa utamfuata huko aliko? Kwa mtizamo wangu naona binti hataki kumuasi mungu na anataka kama unampenda basi umuoe tu, lakini nahisi wewe ni kama vile unataka kumchezea chezea tu na huna nia ya kumuoa. Ama kukutaka uhamie huko aliko inaonyesha huyu binti ameshaamua kuwa Tanga ndio maisha yake yalipo.
 
Nilimuuliza mimi.
Hapo sawa Ila nenda nae taratibu usifanye maamuzi ya haraka ya kusema unamuoa mchunguze vizuri akin'gan'gania umuoe haraka mwambie nahitaji muda tufahamiane zaidi ndipo tuingie kwenye ndoa kingine akikisha kabla hamjashiriki sex mkapime kwa afya
 
Ukicheleweshewa lawama.
Ukiwaishiwa wasiwasi.
Vijana na vijimambo.

Turudi kwenye uzi;
Nenda Mkuu. Ila usikutane naye kwake. Fanya ufukunyuku, jua anapokaa.

Fika huko, ongea na majirani wakupe ukweli. Watu wa Tanga ni Wambea mno haswa kwa mambo hasi kuhusu mtu.

Utakayoyapata huko, utaamua.
Watu wa Tanga ni wambeya mno....unatuchukuliaje sisi Watanga...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom