Brother ukifika Tanga hiyo Handeni haurudi. Niliwahi kupita hayo maeneo ya Wazigua, kuanzia hapa Mandela, Kwa Makocho, Kimange, Kabuku, Manga, Mkata, Amani, Sua, Kitumbi, Mazingara , Kabuku, Kwa Nzundu, Kabuku, Kwediboma, Pongwe Kiona, Kwedikwazu, mpaka Michugwani na Handeni yenyewe.
Maeneo hayo yote nimekuta wageni waliolowea na hawawezi kurudi kwao, mpaka nikakutana na jamaa wa kwetu akaniambia usijaribu kutafuta mwanamke wa hapa, ndoa utapewa bila mahari wanajina lako wanaita Kajingira nyumba, kwa maana ndoa ya mkeka hiyo. Cha kusikitisha Hilo kabila wanawake ni wachawi sana, so uingie kwa tahadhari.
Sent from my TECNO BA2 using
JamiiForums mobile app