monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,621
Noma sana!
unapajua kwa msisi kwanza?
Bila Shaka hiyo site ilikuwa INDIA !??nitarudi kumalizia nikitoka msalani.nikawa natwarihi Qur'an basi kuna aya nikawa nimekosea ghafla nikasikia sauti nzuri ya kike ikinisahihisha kugeuka nikamkuta ni yeye. Nikatabasamu na kumshukuru basi ukaribu ukaanzia hapo.