Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,855
- 27,024
Hakuna mzigua ambaye siyo *mtaalam", hiyo ni mila na desturi yao.Ulichokituma hakijafunguka mkuu.
Karibu tanga.
Hakuna mzigua ambaye siyo *mtaalam", hiyo ni mila na desturi yao.Ulichokituma hakijafunguka mkuu.
Kumbe kinachomungushaga Biden ni kipigo cha Yesu!!
Wacha ukabila wewe!Wewe Kama sio Hilo Kabila achana nae kàa mbali kabisa na hao watu. Wanawezaje wenyewe kwa wenyewe. Utajuta. Hata vipi kàa mbali kabisa hata kama fini yenu ni moja
😀😀Jamani Kwamba apigwe kwanza
😂asubiri kugeuzwa jini maimuna afungiwe ndani alishwe pumba
😀😀😀Sasa baby nikwambie kitu Ni kitu Cha kuhuzunika kweliKifupi umebahatika kupata mchumba asiyependa kukutumia Meseji ya "Bebi nikwambie Kitu"
Huyo anakupenda na angependa atulie na wewe
Kule mtaani Vijana wanasema "Mbuzi Kafia kwa Muuza Supu" 🤪
Kiukweli nilishtuka baada ya kuniambia ni single mother. Binafsi siko interested na singles mother nimeamua kulikubali hilo sababu ya nguvu ya upendo.Naamini kuna point muhimu sana tu ambazo umeshindwa kuzitaja hapa, mfano nini ilikuwa reaction yako alipokwambia kuwa yeye ni single mother? Ulimwambia kama hilo sio tatizo na uko tayari kuanzisha mahusiano nae? Kwa ulivyojieleza wewe na yeye inaonyesha nyote ni watu wa dini, jee ni nini ulichomtaka kwake au ulitegemea? ulitaka ndoa au ulitaka kumuasi mungu nae kwanza? Nashangaa ni kwa nini afikie kukutafutia kazi huko kwao bila ya kukushauri wewe kwanza, una hakika hukumpa impression ya kuwa una mpenda sana kiasi cha kuwa utamfuata huko aliko? Kwa mtizamo wangu naona binti hataki kumuasi mungu na anataka kama unampenda basi umuoe tu, lakini nahisi wewe ni kama vile unataka kumchezea chezea tu na huna nia ya kumuoa. Ama kukutaka uhamie huko aliko inaonyesha huyu binti ameshaamua kuwa Tanga ndio maisha yake yalipo.
Juzi nilikuwa naongea na Daktari, anasema hakuna tatizo la Nguvu za Kiume miongoni mwa WaTanzania isipokuwa Meseji ya "Baby Nikwambie Kitu" 🤪🏃🏃🏃😀😀😀Sasa baby nikwambie kitu Ni kitu Cha kuhuzunika kweli
Ndo zinawamaliza nguvu 😀😀Juzi nilikuwa naongea na Daktari, anasema hakuna tatizo la Nguvu za Kiume miongoni mwa WaTanzania isipokuwa Meseji ya "Baby Nikwambie Kitu" 🤪🏃🏃🏃
Kwa kweli 😄Ndo zinawamaliza nguvu 😀😀