Sijui hii kitaalam inaitwaje? Very dangerous

Hela kidogo hiyo mbona, hajaweka hela ya kila siku ya kutumia, yaani minimum 15,000 ya mkate, mboga za majani, maji ya kunywa, pia sijaona gas, mkaa, TV payment, ngano, hela ya soksi, viatu, dela, kanga, vitambaa, hela ya kusuka, perfumes, hela ya emergency, sijaona. Mwanaume lazima ujue majukumu, ndio ukubwa. Huyu konde boy bado ana akili ya kijinga, hela kidogo hiyo ya matumizi ya kawaida anaweka mitandaoni ili iweje? Au hataki kutunza mtoto?
We unashing ngapi kima ww!??
 
Mbona sioni nyanya vitunguu, mkaa au gas.

Mama Zuu atakuwa amesahau kuweka mboga mboga za majani, mshahara wa dada wa kazi.

Wanaume tafuteni hela mtafika mbinguni mmechoka sana.
Umeona umeme 50,000 pale au siyo
 

Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua

Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana

Lakini Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano

Nileteeni Gwajima x 3

Nileteeni Daniel x 3

Nileteeni Tulia x 3

 
Back
Top Bottom