Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sikushauri wewe,ila nawashauri wanawake ,ukiwa na mpango wa kuolewa dada yangu punguza marafiki wa kiume,. Binafsi sijawai amini urafiki kati ya mwanamke na mwanaume,. Ukiona demu wako ana rafiki wa kiume na hamna kilichotokea ,ujue huyo mwanaume kaamua kumuheshimu ,,,, nilikuwa na marafiki wa kike ila asilimia 75% walibadili lengo la urafiki wanapokuta nipo Bado kwenye lengo la kwanza (urafiki)wanaishia kunilaumu "eti nimezubaa".

Mission ya kwanza kwenye mahusiano yangu Kila siku ni kuhakikisha mwandani anajua siwaamini rafiki zake wa kiume wote,so she fights to keep a distance from them ili mi niendelee kuwepo kwenye maisha yake,kinyume na hapo anajua
True...we men just like to get naked at the slightest opportunity 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.

Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa

Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu

Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)

Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)

Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini.

Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷

1)Kwanini mpenzi wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?

2) Hii ni kitu cha kawaida?

3) Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama

4) Why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)

Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nini maana mimi naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri.
Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta tena .!
Anyway jamaa kama kapenda aoe tu hiyo malaya ya chuo ili aje kulea watoto wa hilo jamaa la nje.
 
Hao wanawake wa chuo mnawapapatikia wa nini??

Form four kibao wamefeli pepa wanazagaa mitaani na wazazi uwezo wa kuwasomesha hawana, wanasubiri waolewe tu. Tena wengine wana bikra zao kabisa. Nyie mnapapatika na mijitu ina 24 yrs imebanduliwa non stop for 3 yrs alooo.

Na uzuri kwa mwanaume umri sio kikwazo, sijui inakuaje mnayafata magolddigger.
Umeongea point mkuu
Haya madada ya chuo asilimia kubwa hawana bikra zote mbili halafu ni mama wa marehemu(walishatoa mimba) yaani mbususu zilishatumika mpaka zikakomaa na kukosa radha kabisa!
Bora hivi vidada vya form 4 unaweza kubahatisha mwenye bikra japo moja au zote angalau hako unaweza kuoa kuliko hizi ngurumbembe za chuo!
 
Mi nadhani mhusika mkuu (stering) wa movie hii siyo rafiki yako bali ni wewe mwenyewe.

Nimebashiri hivi kutokana na namna ulivyojiweka pembeni kutoa ushauri kwa rafiki yako, badala yake kuileta huku Jf kama vile uwatupiavyo mbwa marapu rapu uone wanavyogombea kunyang'anyana!

Maana ni issue simple sana ambayo haiwezi kukushinda kushauri hii hadi "kuikodia majeshi"!

Saasa, saasa(in TL voice)!
Kama unamuamini Mungu kuwa anatenda, basi mshukuru kwa kukupa "ufunuo" kidizaini mapema.

Wengine "ufunuo" huupata wakiwa walishaingia kwenye ndoa tayari na kurudi nyuma ikawa nongwa!

Haujawahi sikia mtu anamkuta mkewe ama mke anamkuta mume "kakumbatia" kwenye uchochoro usio kwenye ndoto ya kukutwa,
hiyo huwa ni nini?

Ninasema tena mshukuru Mungu sana kwa kukuonesha ya sirini mapema ili uweze kuchukua maamuzi kwa nafasi.

Maana kwenye ndoa ama mapenzi hakuna msuluhishi atayekwambia "piga chini" hata angelikuwa ni hasidi.

Tena hao huwaga ni wazuri kuwasoma body language wakati akikushauri kuliko rafiki.

Utakuta anakushauri huku akijichekeleza..." usimwache buana"..." teh teh usimwache, aar huyo mbona ni mwanamke mzuri tyuu, teh teh"... ndiyo hapo akili yako inapojiongeza haraka na kupata cha kuamua kufanya.
Mkuu nimependa sana mwandiko wako agiza Kvant kubwa na chapati sita nakuja kulipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.

Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa

Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu

Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)

Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)

Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini.

Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷

1)Kwanini mpenzi wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?

2) Hii ni kitu cha kawaida?

3) Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama

4) Why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)

Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nini maana mimi naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri.
Kwa ufupi kabisa, dada huyo anatamaa sana na huyo jamaa aliye mleta ni mtu wake na kuachana hakupo. Sasa nasema rafiki yako aachane kabisa na huyu dada.
 
Umeongea point mkuu
Haya madada ya chuo asilimia kubwa hawana bikra zote mbili halafu ni mama wa marehemu(walishatoa mimba) yaani mbususu zilishatumika mpaka zikakomaa na kukosa radha kabisa!
Bora hivi vidada vya form 4 unaweza kubahatisha mwenye bikra japo moja au zote angalau hako unaweza kuoa kuliko hizi ngurumbembe za chuo!
Ndo ivo mkuu, kama umepitia chuo basi ulikua unaona kabisa jinsi mabinti wanavyoishi, wanaoovolewa ndo za wiki wiki wiki, kila semister na mume mpya.

Form six wengi wanatoka na bikra zao, wengine wanakua wacha Mungu. First year tu tayari keshabanduliwa..
 
Rafiki yangu moja alioa ndoa kwa taratibu za kikanisa vizuri tu baada ya muda wakaconflict na mke wake mke akarudi kwao, taratibu za upatanishi zikawa zinafanyika kikanisa zaidi waumini wengi wakasimama na kijana wa kiume maaana jamaa alikua kama last born wa kanisa binti akawa na backup ya familia yake.


Baada ya vikao vingi ngoma ngumu solution ikawa hii ndoa ishakua ndoana askofu wa dayosis husika akaja akaongea nao lkn hakuna mafanikio [emoji16] wamama wengi wakawa wanamshauri jamaa negatively sijui sisi wanawake tupo hv na mengine mengi upande wa familia ya binti wakasema hawataki kumuona jamaaa kbs yaan ilifika mahali watu wakasimamishwa kanisani

Ile kipindi corona imepamba moto, binti alitoroka kwao akampigia simu jamaa tukamfata na Toyo karudi kwa mme wake[emoji16][emoji16][emoji16]kanisani watu walipoteana

Mambo ya watu wawili waolala uchi usiku wa giza Totoro wakajadiliana mambo yao waachie wenyewe
Aibu kuu
 
Back
Top Bottom