Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Ebu na nyie acheni kumind vitu vidogo....yani kisa wee unamgegeda ndio asigegedwe na wanaume wengine?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji3]Acha zako
 
kuna mengine hayataki ushauri, hili mbona jambo dogo sana. Mwambie jamaa yako amekua sasa, ajifunze kuwaza na kuchukua maamuzi mwenyewe aache utoto.

Dunia ina sarakasi nyingi sana, usipokikomaza kichwa chako na kujifunza kuwaza na kuamua mwenyewe utateseka sana.
Tunatofautiana mkuu
 
Soma hayo maandishi ya blue mimi nina marafiki wa kike lakini kuna wale ninao wataka akinikalia sawa nakula sina urafiki wa maneno tu wakati papuchi ndio target yangu.
Kwa hiyo kwenye scenario ya mwana demu kaliwaa au?
 
Chuoni wanawake huwa na wapenzi wao. Hakika jamaa amegongewa kwasababu hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke.
Hata akioa lazima agongewe mke wake. Wanawake wa ajabu sana, unaweza kuwa naye lakini anamkumbuka jamaa yake wa zamani.
Hivi viumbe muda mwingine
 
Chuoni wanawake huwa na wapenzi wao. Hakika jamaa amegongewa kwasababu hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke.
Hata akioa lazima agongewe mke wake. Wanawake wa ajabu sana, unaweza kuwa naye lakini anamkumbuka jamaa yake wa zamani.
Ndio mie nashanga mtu kumind mke wake kugegedwa na jamaa mwengine. Hawa warembo kugegedwa ni jukumu lao kuu hapa duniani so wala tusikasirike tue joy nao tuu.....cha msingi kama amekubless na mbususu yake wewe ichakate vizuri. Akiondoka sio wako tena huyo
 
Ukikua utaelewa namna gani mke anauma .
 
Ukikua utaelewa namna gani mke anauma .
Nikue mara ngapi mzeya am 42 i know women inside out, they have very sweet mbususus but selfish creatures. As long as she is human and has blood running through her veins then bliv u me, her kugegedwa with other men is as certain as death itself.
So relax my main man, mbususu is there foe us to share and once u have that mentaility, huwezi pata stress eti kisa mkeo katombwer huko nje.....variety is the spice of life.
 
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.

Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa

Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu

Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)

Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)

Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini.

Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷

1)Kwanini mpenzi wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?

2) Hii ni kitu cha kawaida?

3) Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama

4) Why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)

Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nini maana mimi naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri.
Mi nadhani mhusika mkuu (stering) wa movie hii siyo rafiki yako bali ni wewe mwenyewe.

Nimebashiri hivi kutokana na namna ulivyojiweka pembeni kiuwajibikaji katika kutoa ushauri kwa rafiki yako, badala yake kuileta kuitupia huku Jf kama vile uwatupiavyo mbwa marapu rapu uone wanavyogombea kunyang'anyana!

Maana ni issue simple sana ambayo haiwezi kukushinda kushauri hii hadi "kuikodia majeshi"!

Saasa, saasa(in TL voice)!
Kama unamuamini Mungu kuwa anatenda, basi mshukuru kwa kukupa "ufunuo" kidizaini mapema.

Wengine "ufunuo" huupata wakiwa walishaingia kwenye ndoa tayari na kurudi nyuma ikawa nongwa!

Haujawahi sikia mtu anamkuta mkewe ama mke anamkuta mume "kakumbatia" kwenye uchochoro usio kwenye ndoto ya kukutwa,
hiyo huwa ni nini?

Ninasema tena mshukuru Mungu sana kwa kukuonesha ya sirini mapema ili uweze kuchukua maamuzi kwa nafasi.

Maana kwenye ndoa ama mapenzi hakuna msuluhishi atayekwambia "piga chini" hata angelikuwa ni hasidi.

Tena hao huwaga ni wazuri kuwasoma body language wakati akikushauri kuliko rafiki.

Utakuta anakushauri huku akijichekeleza..." usimwache buana"..." teh teh usimwache, aar huyo mbona ni mwanamke mzuri tyuu, teh teh"... ndiyo hapo akili yako inapojiongeza haraka na kupata cha kuamua kufanya.
 
Nikue mara ngapi mzeya am 42 i know women inside out, they have very sweet mbususus but selfish creatures. As long as she is human and has blood running through her veins then bliv u me, her kugegedwa with other men is as certain as death itself.
So relax my main man, mbususu is there foe us to share and once u have that mentaility, huwezi pata stress eti kisa mkeo katombwer huko nje.....variety is the spice of life.
Hata namna unavyoandika inaashiria umri wako hauzidi 26.

Vuta subira umri ukisonga utaelewa ninachokueleza hapa
 
Back
Top Bottom