Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Ni huyo mimi

Senior Member
Mar 1, 2020
100
143
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.

Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa

Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu

Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)

Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)

Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini.

Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷

1)Kwanini mpenzi wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?

2) Hii ni kitu cha kawaida?

3) Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama

4) Why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)

Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nini maana mimi naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri.
 
Nyie wanachuo hamshauriki.

Hua tunashusha marisala hapa mkimaliza mnaenda kulia lia na kurudiana ili mkale mihogo na kachumbari.

Mwambie huyo jamaa ako, watoto wa chuo hua hawaolewi mpka wamalize miaka 2 baada ya chuo. Wakishapauka mtaa ndo akili zinatulia. Sasa hv bado wako snapchat. Ataumiza komwe bure tu.
 
Sikushauri wewe,ila nawashauri wanawake ,ukiwa na mpango wa kuolewa dada yangu punguza marafiki wa kiume,. Binafsi sijawai amini urafiki kati ya mwanamke na mwanaume,. Ukiona demu wako ana rafiki wa kiume na hamna kilichotokea ,ujue huyo mwanaume kaamua kumuheshimu ,,,, nilikuwa na marafiki wa kike ila asilimia 75% walibadili lengo la urafiki wanapokuta nipo Bado kwenye lengo la kwanza (urafiki)wanaishia kunilaumu "eti nimezubaa".

Mission ya kwanza kwenye mahusiano yangu Kila siku ni kuhakikisha mwandani anajua siwaamini rafiki zake wa kiume wote,so she fights to keep a distance from them ili mi niendelee kuwepo kwenye maisha yake,kinyume na hapo anajua
 
1687704493475.png
 
Nyie wanachuo hamshauriki.
Hua tunashusha marisala hapa mkimaliza mnaenda kulia lia na kurudiana ili mkale mihogo na kachumbari.
Mwambie huyo jamaa ako, watoto wa chuo hua hawaolewi mpka wamalize miaka 2 baada ya chuo. Wakishapauka mtaa ndo akili zinatulia. Sasa hv bado wako snapchat. Ataumiza komwe bure tu.
Hahhahhaha sio wote mkuu kuna wachache wanajielewa
 
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake..
Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa////
Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu
Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)
Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)
Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini..
Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)
Siku inayofuata Ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;
Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷
1)Kwa nn mpenz wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?
2)Hii ni kitu cha kawaida?
3)Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama
4)why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)
Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nn?maana m naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri

Analiwa huyo, yeye aamue sasa, watakuwa wanaagana vya mwisho mwisho tu atamuachia akishamuoa
 
Back
Top Bottom