Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Umeongea point mkuu
Haya madada ya chuo asilimia kubwa hawana bikra zote mbili halafu ni mama wa marehemu(walishatoa mimba) yaani mbususu zilishatumika mpaka zikakomaa na kukosa radha kabisa!
Bora hivi vidada vya form 4 unaweza kubahatisha mwenye bikra japo moja au zote angalau hako unaweza kuoa kuliko hizi ngurumbembe za chuo!
Wadada wa chuo kazi wanayo
 
Ndo ivo mkuu, kama umepitia chuo basi ulikua unaona kabisa jinsi mabinti wanavyoishi, wanaoovolewa ndo za wiki wiki wiki, kila semister na mume mpya.

Form six wengi wanatoka na bikra zao, wengine wanakua wacha Mungu. First year tu tayari keshabanduliwa..
Hili nalo neno
 
MKuu huyo Jamaa yako Mbona na hisi ni wewe?Tulio hitimu cozi fupi fupi ni kwamba huyo manzi kashaliwa sana na Sio mara moja,na siku ya sherehe aliliwa kwenye ndinga.
Hahahhahaha daaaa eti umeshahitimisha kabisa aliiwa kwenye ndinga
 
Mwanamke achungw mzee anajichunga mwenyew ni kama kulnda bahar unazuia wasiogele coco beach kigambon wanayajimwaga watakavyo utawabania wasiogelee kigambon white sand beach wanaogelea kwa raha zao
 
Mwanamke achungw mzee anajichunga mwenyew ni kama kulnda bahar unazuia wasiogele coco beach kigambon wanayajimwaga watakavyo utawabania wasiogelee kigambon white sand beach wanaogelea kwa raha zao
Hii ni kweli lakini asinitie mashaka
 
Kuna wale wanaoa wanawake kwa ajili ya maisha na kuna sisi tuliooa wanawake wa kila mwanaume yani hawajui kumkataa mwanaume. KABLA HUJAOA JIANDAE KISAIKOLOJIA[emoji853][emoji853][emoji853][emoji2960]
 
Kuna wale wanaoa wanawake kwa ajili ya maisha na kuna sisi tuliooa wanawake wa kila mwanaume yani hawajui kumkataa mwanaume. KABLA HUJAOA JIANDAE KISAIKOLOJIA[emoji853][emoji853][emoji853][emoji2960]
[emoji3][emoji3][emoji1]eti wa kila mtu
 
Back
Top Bottom