Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

hooh! binafsi huwa siamini kama kuna urafiki wa kweli kati ya mwanaume na mwanamke wasiokuwa na undugu wowote na wenye lika linaloruhusu kubinjuana, huwezi nambia chochote hapo maana najua wanawake wanatabia ya kufananisha hata asipo kuambia but kichwani anarun vitu vya namna hiyo asa usiombe akajua wewe ni weak compared to huyo anaemwita rafiki ambae yuko close utapata tabu sana, hutokuwa na furaha kabisa na atakuwa tayali kupekenyuliwa na huyo jamaa~ kama ujuavyo wanaume wengi hatuwezi kataa ofa. so jamaa atumie busara tu kumweleza matakwa ya kumfanya huyo mwanamke aache ukaribu wa aina yeyote na huyo jamaa kama kweli mwanamke amemchagua yeye kuwa wake wa maisha.
 
Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa
Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Hawa watu umeandika kuwa hawajaoana...

Sasa mbona kama wanaishi pamoja kama mke na mume?
 
Hivi viumbe muda mwingine
Wanawake wa ajabu sana. Kuna manzi niliipata halafu nilikuwa napiga show mbovu, sasa manzi anaanza kumkumbuka jamaa yake wa zamani tena ananiambia kabisa. Huniridhishi, anasema Frank ndiyo alikuwa anamkuna vizuri. Hongera sana Frank.
Hakika ningeoa huyu manzi, Frank angeningongea. Hiyo haina ubishi 100%
Ila wanaume tuna mtihani sana
 
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.

Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa

Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu

Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)

Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)

Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini.

Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷

1)Kwanini mpenzi wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?

2) Hii ni kitu cha kawaida?

3) Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama

4) Why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)

Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nini maana mimi naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri.
Kuoa mwanamke wa chuo siyo shida inategemea na jinsi mlivyo ivana .... kama mwanaume lqzma upime kwwnye mizani yako mfano ukisha ona ishara kama hizo tangu mwanzo uanze kujitafakari dhahiri hapo inaonekana ni watu wasio endana ni hatari sana kumwka mwanamke kama huyo ndani
 
Wanachuo wana options mbili tu:
1. Kudate na married men.
2. Kudate na wanachuo wenzao.

Ila kama umetia nia ya kuoa, uko kwenye rika la kuoa, unajiingiza kwa mtoto wa chuo lazima pressure iwe juu mda wote.

Makundi pekee yanayomudu watoto wa chuo ni hayo mawili, mostly they've nothing to lose.
 
Ndio mie nashanga mtu kumind mke wake kugegedwa na jamaa mwengine. Hawa warembo kugegedwa ni jukumu lao kuu hapa duniani so wala tusikasirike tue joy nao tuu.....cha msingi kama amekubless na mbususu yake wewe ichakate vizuri. Akiondoka sio wako tena huyo
Una moyo mkuu
 
Nikue mara ngapi mzeya am 42 i know women inside out, they have very sweet mbususus but selfish creatures. As long as she is human and has blood running through her veins then bliv u me, her kugegedwa with other men is as certain as death itself.
So relax my main man, mbususu is there foe us to share and once u have that mentaility, huwezi pata stress eti kisa mkeo katombwer huko nje.....variety is the spice of life.
Mkuu hata wako akigawa hauna shida
 
Mi nadhani mhusika mkuu (stering) wa movie hii siyo rafiki yako bali ni wewe mwenyewe.

Nimebashiri hivi kutokana na namna ulivyojiweka pembeni kutoa ushauri kwa rafiki yako, badala yake kuileta huku Jf kama vile uwatupiavyo mbwa marapu rapu uone wanavyogombea kunyang'anyana!

Maana ni issue simple sana ambayo haiwezi kukushinda kushauri hii hadi "kuikodia majeshi"!

Saasa, saasa(in TL voice)!
Kama unamuamini Mungu kuwa anatenda, basi mshukuru kwa kukupa "ufunuo" kidizaini mapema.

Wengine "ufunuo" huupata wakiwa walishaingia kwenye ndoa tayari na kurudi nyuma ikawa nongwa!

Haujawahi sikia mtu anamkuta mkewe ama mke anamkuta mume "kakumbatia" kwenye uchochoro usio kwenye ndoto ya kukutwa,
hiyo huwa ni nini?

Ninasema tena mshukuru Mungu sana kwa kukuonesha ya sirini mapema ili uweze kuchukua maamuzi kwa nafasi.

Maana kwenye ndoa ama mapenzi hakuna msuluhishi atayekwambia "piga chini" hata angelikuwa ni hasidi.

Tena hao huwaga ni wazuri kuwasoma body language wakati akikushauri kuliko rafiki.

Utakuta anakushauri huku akijichekeleza..." usimwache buana"..." teh teh usimwache, aar huyo mbona ni mwanamke mzuri tyuu, teh teh"... ndiyo hapo akili yako inapojiongeza haraka na kupata cha kuamua kufanya.
Si ningesema tu kuwa ni mimi kwan si kitu cha kawaida tu hicho mkuu
 
hooh! binafsi huwa siamini kama kuna urafiki wa kweli kati ya mwanaume na mwanamke wasiokuwa na undugu wowote na wenye lika linaloruhusu kubinjuana, huwezi nambia chochote hapo maana najua wanawake wanatabia ya kufananisha hata asipo kuambia but kichwani anarun vitu vya namna hiyo asa usiombe akajua wewe ni weak compared to huyo anaemwita rafiki ambae yuko close utapata tabu sana, hutokuwa na furaha kabisa na atakuwa tayali kupekenyuliwa na huyo jamaa~ kama ujuavyo wanaume wengi hatuwezi kataa ofa. so jamaa atumie busara tu kumweleza matakwa ya kumfanya huyo mwanamke aache ukaribu wa aina yeyote na huyo jamaa kama kweli mwanamke amemchagua yeye kuwa wake wa maisha.
Noted
 
Wanawake wa ajabu sana. Kuna manzi niliipata halafu nilikuwa napiga show mbovu, sasa manzi anaanza kumkumbuka jamaa yake wa zamani tena ananiambia kabisa. Huniridhishi, anasema Frank ndiyo alikuwa anamkuna vizuri. Hongera sana Frank.
Hakika ningeoa huyu manzi, Frank angeningongea. Hiyo haina ubishi 100%
Ila wanaume tuna mtihani sana
Dada kauzu huyo anakuchana live live tu
 
Back
Top Bottom