Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Nadhan ushaidi ni wa kimazingira tu nadhan angepata ushahid thabit asingenifata coz jamaa ni mtu wa msimamo
Manzi alishaanza kumdanganya tayari hiyo ni sign sio mwaminifu

Huyo manzi lazima anatombwer na huyo mshikaji mwingine

Mwanamume kwenye mahusiano anapaswa kutumia akili na sio hisia.

La sivyo msemo mapenzi upofu unafanya kazi kwa mwanetu
 
Au tumwache ateseke kidogo na mapenzi ha ha ha haaaaa anakazi huyu[emoji3][emoji3][emoji3] au mshikaji kampendea demu ana nyansh[emoji527] nini [emoji39]
 
Wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune.

Usithubutu kujifanya mshauri wa mahusiano ya watu. Unaweza jikuta unageuziwa kibao kuwa wewe ndie unaewafatini.
Mara nyingine ushauri unaweza kuleta tija
 
Usimung’unye maneno kifupi sitisha kila kitu mzee manzi zipo nyingi sana kikubwa jipe muda Ila ukitaka kulia ufuate moyo wako uishie kulia tu na kumbuka ukisha oa kuachana kunakuwa kigumu sana…..kumbuka huu ni ushauri wa BURE
Noted
 
Hao wanawake wa chuo mnawapapatikia wa nini??

Form four kibao wamefeli pepa wanazagaa mitaani na wazazi uwezo wa kuwasomesha hawana, wanasubiri waolewe tu. Tena wengine wana bikra zao kabisa. Nyie mnapapatika na mijitu ina 24 yrs imebanduliwa non stop for 3 yrs alooo.

Na uzuri kwa mwanaume umri sio kikwazo, sijui inakuaje mnayafata magolddigger.
 
Uongo kwenye mahusiano sio kitu cha kufumbia macho kabisa!
Ndoa si lelemama,
Uongo kidogo unaweza wafanya mlale vyumba 2 tofauti huku mkiwa ndani ya nyumba moja!
 
Mambo yao waachie mwenyewe

Mwanamume akishajua tu manzi kacheat au mdanganyifu huwa hatuulizi wala kuomba ushauri ni kupiga chini huyo manzi

Huyo mshikaji kaja kukuomba ushauri lakini inaonekana bado anamkubali huyo demu.

Usiingilie mambo yao waachie wenyewe
Nakaziaa hapaaa.
 
Dah! Wanaume kweli tumeumbiwa mateso. Yaani jamaa bado hanaingia hata kwenye hiyo ndoa, lakini mateso tayari yameshaanza. Sasa sijui akiingia rasmi itakuwaje!!
 
Hao wanawake wa chuo mnawapapatikia wa nini??

Form four kibao wamefeli pepa wanazagaa mitaani na wazazi uwezo wa kuwasomesha hawana, wanasubiri waolewe tu. Tena wengine wana bikra zao kabisa. Nyie mnapapatika na mijitu ina 24 yrs imebanduliwa non stop for 3 yrs alooo.

Na uzuri kwa mwanaume umri sio kikwazo, sijui inakuaje mnayafata magolddigger.
Hahahha aloo
 
Manzi alishaanza kumdanganya tayari hiyo ni sign sio mwaminifu

Huyo manzi lazima anatombwer na huyo mshikaji mwingine

Mwanamume kwenye mahusiano anapaswa kutumia akili na sio hisia.

La sivyo msemo mapenzi upofu unafanya kazi kwa mwanetu
Inawezekana maana hawaaminiki hawa
 
Demu wa chuo siyo wakufanya nae mambo serious ya maisha..
Subili after graduation akae mtaani kama Miaka kadhaa apigike, wahuni wapige wamuache wamdanganye tena apigike alafu ikifika kama 5 years hapo akili huwa zinafunguka sasa ukipanga naye mambo mnakuwa on same page.

Kama Kuna mtu anabisha kajaribu kudate na hao viumbe uone wanavyoishi kwenye ndoto.
 
Back
Top Bottom