napenda sana ugomvi wa hawa binadamu maana ndio wakati mzuri wa sinema ya bure.
mfumaniwa vs mfumaniaji...View attachment 181355 naamini si mwanaJF
teh teh naona watu wararuana...sijui tabu yote yaletwa na nini???
Jando lako pengine mziki mnene au umepaka asali?
Umeona eeeh .... ana utamu wa tende wa kuzaliwa sio wa haluwa utamu wa sukari ya kupikiwa
Utapofuka macho shauri yako
Jando lako pengine mziki mnene au umepaka asali?
Hahahaha wanaujua wao ila mwenyeo nini hasa unajua vizur hebu tudokeze.....
huenda akipaka inakuwa kama ulimbo...Hahahahaaaa Hahahahaaaa Kwani zina meno zile