sijiskii kupendwa

huna upendo...utapendwaje? kitu ambacho haupo tayari kumfanyia mwenzako...pia hauko tayari kufanyiwa
 
duu hii balaa mwana mama ndio leo hujisikii kupendwa kweli we nomaa...:A S-coffee:
 
Nimpende nani eeeh nimpende *2
nimpende nani eeh nimpende *2...sijui nini na nini kama wema sepetu kila siku magazeti,sijui nini na nini ajue kupetpet,sijui nini na nini mengine nimesahau..

Dedication kwako.
 
nimekwambia unanikejeli. Unamalzia maneno yako na (lol). Mm ni mpole c mjinga.

Sorry my dear, umenipeleka shule naifuta 'lol' kwa sababu yako.Halafu kitu nilichogundua katikati ya maandishi wewe ni mpole kweli.Hujanijibu kwa karaha (women character).
So kwa dhati nijibu niliyouliza my dear...........nasubiri sitoki kwenye mtandao.
 
Sema unayopenda kufanyiwa. Sema vitu unavyovipenda. Sema sehemu unazopenda kwenda. Sema yote upendayo ili umpe mtu pa kuanzia.

Unapenda keki? Unapenda kwenda beach? Unapenda dhahabu au almasi? Unapenda maua? Unapenda chokleti? Unapenda manukato? Unapenda kuimbiwa? Unapenda kutomaswa? Unapenda kubusiwa?
Mh maneno yako yana mvutooo! Umenigusa hata na mie
 
nisaidien mawazo. Nifanye nn nipendwe?


GM

Ukiona hivyo ujue kuna mambo kadhaa unayoyafanya ambayo yanawafanya watu wengine wasikupende hasa katika tabia au mwenendo wako wa maisha. Nadhani jambo la msingi ni kujichunguza ili kuona wapi kuna nyufa ili uuzibe mapema usije ukajikuta unajenga ukuta. Siwezi kuendelea kukushauri zaidi kwa sababu sijajua unaongolea kupenda kwa aina gani
 
Kuna anayekupenda tiari tena unconditionally, fungua tu macho vizuri ulll see
 
Back
Top Bottom