Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
- Thread starter
- #21
Ukijipenda mwenyewe mbona inatosha sana
wengine wanakuwa nyongeza tu
najskia mpweke.
Ukijipenda mwenyewe mbona inatosha sana
wengine wanakuwa nyongeza tu
nisaidien mawazo. Nifanye nn nipendwe?
GM
nataka wakunifanya nijsikie bila kumwelekeza!
Me huwa nakuonaona hapa JF,Kwa kweli nakupenda ukichanganya na kasura kako ndo balaa kabisa.Waishi wapi vile?
Unataka upendwe vipi binti/mama wewe.....................Niweke kwenye diary!! lol
Huwezi kutaka kitu toka kwa mtu bila kutoa ushirikiano!
nimechoka kukmbia.
labda nielekeze nn hasa nitaje?
Sema unayopenda kufanyiwa. Sema vitu unavyovipenda. Sema sehemu unazopenda kwenda. Sema yote upendayo ili umpe mtu pa kuanzia.
Unapenda keki? Unapenda kwenda beach? Unapenda dhahabu au almasi? Unapenda maua? Unapenda chokleti? Unapenda manukato? Unapenda kuimbiwa? Unapenda kutomaswa? Unapenda kubusiwa?
jinsi ulivo jib hii post sasa huku ndio kuonesha upendo. I lyk u, naona ww ni gentlemani kwel.
nisaidien mawazo. Nifanye nn nipendwe?
GM
najskia mpweke.
maneno yako matam japo ya kejeli.
jinsi ulivo jib hii post sasa huku ndio kuonesha upendo. I lyk u, naona ww ni gentlemani kwel.
No sijakukejeli hako ni ka-staili kangu ka kuandika....wasema maneno matamu eeh,mbona hujajibu swali langu au umemtupa jongoo na mti wake? acha kusikitika sitanii.
Halafu usimjibu mtu mwingine kama ulivyonijibu kwenye hiyo red lol!!
Nitapita baadae...
Ukijiona mpweke
fanya kitu unachokipenda
kama una hela hata kidogo
jipeleke sehemu nzuri
kulingana na hela yako
nenda kwa marafiki zako
wasichana lakini
ambao wanakufanya uwe happy
ukienda kwa wavulana .... !!??
Hadi awe rafiki wa ukweli vinginevyo ataanza yale yale