sijiskii kupendwa

kuna kila dalili Nyani Ngabu atakusaidia..,fuatilia anachokushauri kwa makini
 
......Unapenda keki?.......Unapenda dhahabu au almasi?.........Unapenda maua?.......Unapenda chokleti?.......Unapenda kuimbiwa?.......Unapenda kutomaswa?......Unapenda kubusiwa?

hahahaha....Weee mwalimu kiboko! Na kweli kama hasemi utajuaje? Mapenzi bwana kaaazi kwelikweli ndio maana Linah aliona bora akimbie....
 
Back
Top Bottom