sijiskii kupendwa

Usijali, mi naamini utapendwa kabla mwaka hujakwisha!
 
kuna kila dalili Nyani Ngabu atakusaidia..,fuatilia anachokushauri kwa makini
 
......Unapenda keki?.......Unapenda dhahabu au almasi?.........Unapenda maua?.......Unapenda chokleti?.......Unapenda kuimbiwa?.......Unapenda kutomaswa?......Unapenda kubusiwa?

hahahaha....Weee mwalimu kiboko! Na kweli kama hasemi utajuaje? Mapenzi bwana kaaazi kwelikweli ndio maana Linah aliona bora akimbie....
 
kama una hela hata kidogo
jipeleke sehemu nzuri
kulingana na hela yako

Mbona una mchanganya dogo sasa, hana hela hata kidogo tena unamwambia aende kwenye hela Mrembo vipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…