Abdul slise
New Member
- Dec 8, 2020
- 3
- 13
Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
Ni shapima zaid ya mara tatu Kuna wengine wanasema labda huyo mwanamke ana damu chafuSubiri miezi mitatu ukapime tena.
Sasa kama anaudhulumu mjegejo wake yeye mwenyewe, na kisha anajilaumu yeye mwenyewe.....Yaani asidinyane kisa Hana pesa !? Huko sinikuidhulumu mb..o Haki yake' ya msingi ?
😁😁😁 Basi kazi anayoSasa kama anaudhulumu mjegejo wake yeye mwenyewe, na kisha anajilaumu yeye mwenyewe.....
Unadhani tutamshauri nini huyu...😜😜
Siku nyingine vaa CondomNaombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
Kwa hizi komenti, mtakuja kuua watu skumoja....Lakini unavyojiona una dalili zote za ngoma,si eti mkuu?
😂😂😂😂Lakini unavyojiona una dalili zote za ngoma,si eti mkuu?
hahahahhahaaUmegundua nini?