Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM

Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM

Walikusudia mara baada ya kumchoma kisu, wamtupe polini ili asubuhi wapitaji wakimuona na kutoa taarifa polisi, Polisi waje na majibu mepesi, but mission imefeli na wameumbuka kwa uwezo wa Mungu.
 
Mbona nape alitaka kuuawa nyie mkapiga kelele..Malima pia alitaka kuuawa na askari..Akwilina pia ni mwanaccm ila aliuawa pia
 
Najua Polisi huwa wana kuwa na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, na wakati mwingine fimbo.

Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu wala manati katika kurahisisha shughuli zao.

Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?

Kama Polisi anatembea na kisu, anashindwaje kutembea na bangi, na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?

Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Inabidi ifike mahali tujiongeze, kwa kweli polisi sasa wametuzoea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom