Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM

Najua Polisi huwa wana kuwa na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, na wakati mwingine fimbo.

Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu wala manati katika kurahisisha shughuli zao.

Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?

Kama Polisi anatembea na kisu, anashindwaje kutembea na bangi, na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?

Sababu wana ccm ni wastaarabu na wanatii sheria bila shuruti.
 
ni ngumu sana muuaji kumuua muuaji mwenzake au kujiua !!!??
 
Ni jambo baya sana kupotosha ukweli kwa vyovyote vile kama wewe ni muhalifu lazima utawachukia Polisi.Kumbuka walioajiliwa kuwa Polisi wanatokana na jamii yetu hivyo kama tulikosea kulea watoto wetu katika msingi mwema madhara yake yataonekana pale ambapo ataacha mwenendo mwema wa polisi na kufuata jinsi alivyo lelewa.
Makosa ya Polisi mmoja mmoja yasichukuliwe kuwa ni makosa ya jeshi zima mpaka serikalini.
Ili utoe hukumu kwa jeshi zima ni lazima upata nia ovu ya pamoja.
Kiongozi umeongea maneno mazuri sana,nahisi wewe unaweza kuwa Polisi wa mfano wa kuigwa kwa busara zako(kama ni polisi)...ila naomba ufikishe salamu zangu kwa wakuu wakemee polisi wa chini kutoa VIPIGO VYA MBWA KOKO kwa raia ambao hawajakataa kutii amri.Kuna video inasambaa watu wanashushwa kutoka kwenye gari wameweka mikono kichwani kukinga marungu yasipasue vichwa vyao.Hivi vipigo vinatengeneza chuki pls toeni vipigo pale ambapo kweli mnahitajika kufanya hivyo.
 
Unajua lazima alikumbatie jeshi maana amepoteza ushawishi kwa wananchi
 
Kwanza nataka nikuambie yule askari ni mkurya wa huko huko umesikia anaitwa Marwa na nikawaika kwa wakurya kutembea na kisu huko Tarime na uelewe wakurya silaha yao kubwa ni kisu hawajui kutumia ngumi hata siku moja nimekaa Tarime nawajua mkikorofishana kama hatatumia kisu basi atatumia Nati au fimbo ya kawaida. Hivyo mimi sishangai hao wakurya kuchomana visu!
Acha uongo wewe wakurya gani wasiojua ngumi dadeki
Sasa nijibu uone kama ngumi hatujui

Pumba nyingine hii
 
Najua Polisi huwa wana kuwa na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, na wakati mwingine fimbo.

Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu wala manati katika kurahisisha shughuli zao.

Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?

Kama Polisi anatembea na kisu, anashindwaje kutembea na bangi, na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?

Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Ila Mkiru
Polisi na wanaccm wengi waliuawa

Na ww mwanachama wa chama chenye mwnykiti wa kudumu ulifurahia tu
 
Ipo siku utaskia ajali imeua watu watatu na mwana ccm mmoja au wamekamatwa watu watatu na mwanachadema mmoja.
Hili tatizo la watu kutambuliwa kwa vyama vya kisiasa linaongezeka
 
Hawa ndo wastaarabu eeh!?
Sababu wana ccm ni wastaarabu na wanatii sheria bila shuruti.

tapatalk_1525086720876.jpeg
 
Najua Polisi huwa wana kuwa na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, na wakati mwingine fimbo.

Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu wala manati katika kurahisisha shughuli zao.

Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?

Kama Polisi anatembea na kisu, anashindwaje kutembea na bangi, na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?

Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Wewe ni mchochezi
 
Kwanza nataka nikuambie yule askari ni mkurya wa huko huko umesikia anaitwa Marwa na nikawaika kwa wakurya kutembea na kisu huko Tarime na uelewe wakurya silaha yao kubwa ni kisu hawajui kutumia ngumi hata siku moja nimekaa Tarime nawajua mkikorofishana kama hatatumia kisu basi atatumia Nati au fimbo ya kawaida. Hivyo mimi sishangai hao wakurya kuchomana visu!
Pale Mabibo wakurya wachoma chips Mungu alisaidia walitaka kutimbana vibaya sana hawa jamaa ni noma moja kwa hasira akamwagia mafuta yalichemka ya chips. Hawa ni kama wanyama kiboko yao Ndugu yao Siro ama kamanda Ntobi
 
Wakuda wana stress za maisha,wao wako lindoni nyie raia mnatafuna wake zao wataacha kuwaua??!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom