Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,599
- Thread starter
- #21
UHALALI WA POLISI kutembea na kisu umetoka wapi?Hii ni jinsi unavyotafsiri wewe kwakuwa haukuwepo kwenye eneo latukio ni vigumu kujua kulitokea majibiizano ya aina gani mpaka kufika kuchomana visu maana yule polisi ni mkurya na marehemu mkurya. Wote hasira zio zipo mikononi.
Kati ya ndugu yako na jirani yako in yupi utamuua endapo utaamriwa?Najua Polisi Huwa wana kuwa Na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, Na wakati mwingine fimbo.
Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu Wala manati katika kurahisisha shughuli zao.
Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?
Kama Polisi anatembea Na kisu, anashindwaje kutembea na Bangi, Na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?
Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Si unataka kusikia tu..endelea kusubiri. Upinzani wa namna hii unawapa kazi ngumu sana wanaharakati kufanya kazi zao.Najua Polisi Huwa wana kuwa Na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, Na wakati mwingine fimbo.
Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu Wala manati katika kurahisisha shughuli zao.
Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?
Kama Polisi anatembea Na kisu, anashindwaje kutembea na Bangi, Na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?
Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Huwezi linganisha na kile chama cha VirobaHawa ndio wastaarabu?
![]()
Hicho kisu ulikiona?uhakika unao?mh lema?UHALALI WA POLISI kutembea na kisu umetoka wapi?
Define terrorist and differentiate between terrorism & and terrorist acts in relation with opposition political parties?Kwa sababu CCM siyo terrorist!
Tii bila shuruti ulishaelewa wanamaanisha nini hapo ??Kwa hiyo ubishani wa maneno unatoa UHALALI WA POLISI KUUA?
Je wewe hujawahi kubishana maishani kwako? Je ulistahili adhabu ya kifo? Naomba majibu
Wanafanya vyote vyote mkuu hata kuchoma pia wakurya wana roho ngumu ukikutana na afande mkurya afu umuudhi daaaaah hatari kweli kweli...Wakurya hawatumii kisu, hutumia panga KUGHECHA, Na kuwa hawachomi visu, wanakata mapanga
Kwa hiyo adhabu ya kubishana Na askari ni kuuawa?Tii bila shuruti ulishaelewa wanamaanisha nini hapo ??
usipende kubishana hovyo hovyo.
Tatizo lenu ninyi chadimaaaa mnapenda sanaa kubisha hata kwa maaskari mnaleta sheria za hovyo hovyo.
Kidogo nimekuelewa kuliko hao mapopoma wanaotetea ujinga. Lakini kinachoongeza idadi ya matukio haya ni Polisi kubebana wanapoua na hii inasababisha wengine waone ni sahihi.Ni jambo baya sana kupotosha ukweli kwa vyovyote vile kama wewe ni muhalifu lazima utawachukia Polisi.Kumbuka walioajiliwa kuwa Polisi wanatokana na jamii yetu hivyo kama tulikosea kulea watoto wetu katika msingi mwema madhara yake yataonekana pale ambapo ataacha mwenendo mwema wa polisi na kufuata jinsi alivyo lelewa.
Makosa ya Polisi mmoja mmoja yasichukuliwe kuwa ni makosa ya jeshi zima mpaka serikalini.
Ili utoe hukumu kwa jeshi zima ni lazima upata nia ovu ya pamoja.
SERIKALI HAIJAJUA KAMA TAYARI WATU WENGI WAMESHAELIMIKA.NA WANAUWEZO WA KUHOJI. HAKUNA UDINI TENA SASA HIVI WOTE KIKAANGO KIMOJA.Leo tuongee.
Na wale waliozamishwa baharini Pemba
Kwa mtazamo wangu mimi hii issue haihusiani na siasa (ccm au chadema), badala yake itakuwa ni ushamba wa tabia za kikurya wa kuchomana visu na kukatana mapanga kwa visa vya kijinga kabisa, mfano kudhulumiana, kuibiana, kuchukuliana wanawake n.k.Najua Polisi huwa wana kuwa na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, na wakati mwingine fimbo.
Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu wala manati katika kurahisisha shughuli zao.
Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?
Kama Polisi anatembea na kisu, anashindwaje kutembea na bangi, na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?
Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Kwani huwa wamatangaza kuwa fulani ni chama gani akiuawa??Najua Polisi huwa wana kuwa na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, na wakati mwingine fimbo.
Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu wala manati katika kurahisisha shughuli zao.
Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?
Kama Polisi anatembea na kisu, anashindwaje kutembea na bangi, na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?
Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Vipi mauaji ya Mwangosi, Akwilina Na Yule kijana wa Mbeya?Kwa mtazamo wangu mimi hii issue haihusiani na siasa (ccm au chadema), badala yake itakuwa ni ushamba wa tabia za kikurya wa kuchomana visu na kukatana mapanga kwa visa vya kijinga kabisa, mfano kudhulumiana, kuibiana, kuchukuliana wanawake n.k.
Ukiangalia jina la huyu polisi ni la kikurya wala halihitaji kutafuta na marehemu pia mkurya. Hivyo itakuwa ni hizo tabia zao za kishamba zimepelekea kuuana kwa visu.
Kama kweli nyie wakurya ni wanaume, acheni visu na mapanga, piganeni ngumi tuwaone ubabe wenu. Washamba kabisa nyie
Tutahoji hata wakituteka Na kututesaSERIKALI HAIJAJUA KAMA TAYARI WATU WENGI WAMESHAELIMIKA.NA WANAUWEZO WA KUHOJI. HAKUNA UDINI TENA SASA HIVI WOTE KIKAANGO KIMOJA.