Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,483
Reaction score
167,065
Najua Polisi huwa wana kuwa na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, na wakati mwingine fimbo.

Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu wala manati katika kurahisisha shughuli zao.

Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?

Kama Polisi anatembea na kisu, anashindwaje kutembea na bangi, na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?

Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
 
Najua Polisi Huwa wana kuwa Na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, Na wakati mwingine fimbo.
Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu Wala manati katika kurahisisha shughuli zao.
Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?
Kama Polisi anatembea Na kisu, anashindwaje kutembea na Bangi, Na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?

Kuna sehemu nlickia kadi ya ccm ni muhimu sana nikawa nawaza kivip leo ndo nimeelewa
 
Kwa hiyo ubishani wa maneno unatoa UHALALI WA POLISI KUUA?
Je wewe hujawahi kubishana maishani kwako? Je ulistahili adhabu ya kifo? Naomba majibu
Kwanza nataka nikuambie yule askari ni mkurya wa huko huko umesikia anaitwa Marwa na nikawaika kwa wakurya kutembea na kisu huko Tarime na uelewe wakurya silaha yao kubwa ni kisu hawajui kutumia ngumi hata siku moja nimekaa Tarime nawajua mkikorofishana kama hatatumia kisu basi atatumia Nati au fimbo ya kawaida. Hivyo mimi sishangai hao wakurya kuchomana visu!
 
Najua Polisi Huwa wana kuwa Na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, Na wakati mwingine fimbo.
Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu Wala manati katika kurahisisha shughuli zao.
Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?
Kama Polisi anatembea Na kisu, anashindwaje kutembea na Bangi, Na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?
Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM
Acha siasa
 
Mada yako inachanganya na ina element za uchochezi.
Nadhani ungejikita kuuliza silaha aliyotumia kama ni halali kuwa nayo au la na mazingira aliyoua yalilazimu kufanya hiyo au la (maswali ambayo hata hivyo yanatakiwa kuulizwa na kujibiwa na wahusika kwenye sehemu na mahali sahihi).
Unadhani kazi ya polisi ni kuua au kulinda raia? Je unadhani Polisi wote ni wafuasi wa chama kimoja?
Wenyewe wanatumikia serikali, japokuwa hawaruhusiwi kujitangaza wala kujionesha hadharani lkn mioyoni mwao wanavyama vyao tofauti tofauti.
 
Halafu watasema hajulikani aliyemuua.Hakika chuki na hasira zilizopo mtaani dhidi ya serikali hii ni kubwa sn.

R I P wote waliouliwa na polisi.

Ikatokea mtu fulani akafa watu watashangilia na kulia machozi ya furaha.
 
Ni jambo baya sana kupotosha ukweli kwa vyovyote vile kama wewe ni muhalifu lazima utawachukia Polisi.Kumbuka walioajiliwa kuwa Polisi wanatokana na jamii yetu hivyo kama tulikosea kulea watoto wetu katika msingi mwema madhara yake yataonekana pale ambapo ataacha mwenendo mwema wa polisi na kufuata jinsi alivyo lelewa.
Makosa ya Polisi mmoja mmoja yasichukuliwe kuwa ni makosa ya jeshi zima mpaka serikalini.
Ili utoe hukumu kwa jeshi zima ni lazima upata nia ovu ya pamoja.
 
Halafu watasema hajulikani aliyemuua.Hakika chuki na hasira zilizopo mtaani dhidi ya serikali hii ni kubwa sn.

R I P wote waliouliwa na polisi.

Ikatokea mtu fulani akafa watu watashangilia na kulia machozi ya furaha.
Polisi Na matendo yao wanazizidisha. Ndio maana watu wanafurahi sana wakisikia JWTZ wamewapiga Polisi
 
Kwa hiyo ubishani wa maneno unatoa UHALALI WA POLISI KUUA?
Je wewe hujawahi kubishana maishani kwako? Je ulistahili adhabu ya kifo? Naomba majibu
Hii ni jinsi unavyotafsiri wewe kwakuwa haukuwepo kwenye eneo latukio ni vigumu kujua kulitokea majibiizano ya aina gani mpaka kufika kuchomana visu maana yule polisi ni mkurya na marehemu mkurya. Wote hasira zio zipo mikononi.
 
Najua Polisi Huwa wana kuwa Na filimbi, kirungu, pistol (bastola), mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, bunduki, tochi, Na wakati mwingine fimbo.
Katika maisha yangu sijawahi kusikia polisi wakitumia sime, panga, mkuki, kisu, mundu Wala manati katika kurahisisha shughuli zao.
Juzi tumesikia Polisi kamuua mtuhumiwa kwa kisu, je kisu ni kitendea kazi halafu cha Polisi?
Kama Polisi anatembea Na kisu, anashindwaje kutembea na Bangi, Na madawa mengine ya kulevya ili wawabambikie kesi raia hasa wa upinzani?
Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM

Ujue niwastaarabu
 
Ujue niwastaarabu
Chukua hiyo kimya kimya
IMG_20180423_015904.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom