Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
- Thread starter
-
- #161
Swali juu ya swali....
Ushamuona mchungaji kiwete, au shekhe.... Au askofu...
Nyongeza..
Ushawah ona mchungaji kipofu au kiziwi...
Kingo
Wapo wengi vilema wa kiroho.
Nzuri..Sahihi mkuu. Upadre ni kama kuwa mwanajeshi. Huingii kwa kufanya escapism ya maisha ya kawaida. Unapaswa kuwa mzima tena mzima hasa. Ni uzima wa kimwili, kiroho na kiakili pia.
Uwe vema kiuweledi, nidhamu, uchaji wa MUNGU nk. Kule kwa uelewa mzuri si kichaka cha kujificha na kuyakimbia maisha ya kawaida.
Wanajuaje kuwa wanaemchagua ni mwanaume mashineNadhani ni sheria,maana hata kwenye suala la uwanaume mashine wanazingatia sana
Sio wewe ni hanithi ukategemea kuwa padri noo
Lzm uwe umekamilika uanaume wako
Sent using Jamii Forums mobile app
ZASP unataka ligi sasa! Haya umeshinda. Hata hivo tofautisha kazi ya kanisa na ya mungu.So kila mtumishi ni mpakwa mafuta mungu hachukui sadaka vilema ila akijitwalia kilema nani amzuie? Upadre ni uamuzi wa mtu kujidhabihu kwa kazi ya mungu sasa tukimpelekea walemavu inakuwaje?Mkuu mbona hilo Andiko la Kutoka 4:10-17 limeweka wazi kila kitu kuhusu ulemavu wa kuongea wa Musa. Mpaka Musa akajenga hoja ya kusema kutokana na tatizo lake hilo la kutokuweza kuongea vyema anaona hafai kupakwa mafuta(kwenda kumtumikia Mungu).
Na Mungu akaipangua hiyo sababu ya Musa kwa hoja Tatu...
1/Ni Mungu yeye mwenyewe aliyeumba huo Ulemavu (Akimaanisha analijua hilo na sio kikwazo cha Musa kwenda kumtumikia) Kutoka 4:11
2/Katikati ya huo ulemavu wa kinywa cha Musa basi Mungu mwenyewe atamwezesha kushinda. (Kutoka 4:12)
3/Atamtumia Haruni ambaye hana huo ulemavu wa kinywa kumsaidia Musa. (Kutoka 4:14-15)
Kuwa na ulemavu wa kuongea hakuna maana kuwa mtu hawezi kuwasiliana kabisa, anaweza kuwasiliana kwa namna tofauti, na hata kuongea huenda anaweza lakini sio kama inavyotakiwa.
Wanapaswa kuwa wakamilifu kimaumbile bila kilema chochote kile. Ndio utaratibuKusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Mkuu nimependa hoja yako,ila ni yupi alikuwa mkuu kati ya hawa wawili?mbona akazungumza na musa badala ya Haruni?Ni kazi ya kuhani kwenda mbele za Bwana kwa niaba ya kundi sasa hapa ukisema musa hakuwa kuhani napata shaka kidogo kwani hata waliposubu sanamu ni musa aliyeanguka kifudifudi kwa siku 40 mbele za mungu je hili unalizungumziaje?Musa alikuwa na kigugumizi na karibu yake alisogea haruni kwa hiyo MUNGU alipozungumza na musa kwa maelekezo kwa wana wa Israel mMUNGU huyo huyo alimwambia musa mwambie Haruni awaambie wana wa Israel maneno hayo na huo ulikuwa mpango wa MUNGU na ndiyo maana kuhani mkuu wa kwanza alikuwa haruni kwann hakuwa musa?musa alikuwa mkuu wa msafara kuwa vusha wana wa Israel na kumbuka pia musa alipopewa maelekezo ya kimueleza farao walikwenda na haruni kwa hivyo basi musa hakuwa kuhani,mapadre ni makuhani kama ilivyokuwa kwa watoto wa haruni,kwa kutambua mapungufu ya musa hakumfanya kuwa kuhani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh!Wengi Sanaa wapo, kwa mfano ni mapadri wachache Sanaa ambao wakiwa wanasoma bibble hawatumii miwani ya lensi, kutoana vizuri nako ni ulemavu tena mbaya kuliko wa viungo kama miguu na mikono
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu naona unaandika kwa kubahatisha sana, una unga unga maelezo sana.Musa alikuwa na kigugumizi na karibu yake alisogea haruni kwa hiyo MUNGU alipozungumza na musa kwa maelekezo kwa wana wa Israel mMUNGU huyo huyo alimwambia musa mwambie Haruni awaambie wana wa Israel maneno hayo na huo ulikuwa mpango wa MUNGU na ndiyo maana kuhani mkuu wa kwanza alikuwa haruni kwann hakuwa musa?musa alikuwa mkuu wa msafara kuwa vusha wana wa Israel na kumbuka pia musa alipopewa maelekezo ya kimueleza farao walikwenda na haruni kwa hivyo basi musa hakuwa kuhani,mapadre ni makuhani kama ilivyokuwa kwa watoto wa haruni,kwa kutambua mapungufu ya musa hakumfanya kuwa kuhani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi vilema wa kiroho.
Mkuu kutoa mapepo hakutokani na kusoma theolojia bali ni karama ya uponyaji, kimsingi kuna baadhi ya mapadri wanazo hizo karama ila siyo kwakuwa ni mapadri kupata hizo karama bali ni zawadi ya roho mtakatifu kwa mtu mmoja mmoja..!Hii sijui imekaaje! Ila kwa mapadre ni nadra sana kusikia anasema njoooni kwangu wenye mapepo niwaombee wasiojiweza watajiweza. Na toka nianze kusali katoliki mwaka wa 38 sasa sijawahi ona mtu kaanguka kisa pepo ndani ya kanisa.
Wewe wasema lkn ninani hata amkosoe MUNGU kwa maamuzi yake?hayo ndiyo aliyomuelekeza musa na haruni kuijulisha hazara ya wana wa Israel na wala c kunyanyapaa mbona wana wake hawakuhesabiwa?na haki ya mtoto kupewa baba badala ya mama?usimkosoe MUNGU kwa maamuzi yake,usje ukalaaniwa.Naheshimu utaratibu uliokubaliwa na taasisi yoyote kuendesha masuala yake, ikiwepo makanisa na misikiti.
Lakin ni muhimu tuheshimu pia watu wengine kwa namna tunavyoongelea,tusinyanyapae wengine,ingetosha kusema tu ndivyo utaratibu ulivyo.
Walemavu nao ni watu kamili kama walivyo wengine, nao wanaweza kujikana na kujitoa wazima kwa Mungu wao.
Rejea Matendo ya Mitume 10:15, alivyoviumba Mungu mwanadamu usiviite najisi.
Hata padre hanithi hayupo duniani, hivyo usishangae sanaKusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Usisahau pia kwenye wale wanafunzi 12 wa Yesu hata hawa hawakuwepo....Hata bwana yesu hakuwa na mwanafunzi mlemavu kwenye wale 12
Duh hawa jamaa hawapigagi nyeto kweli?Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)
Kwanini...?
Upadre na Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..
Wajuzi watajazia nyama