Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,071
Ok!Mbona mimi classmates zangu vilaza ndo mapadre?
Ok!Mbona mimi classmates zangu vilaza ndo mapadre?
Sasa we mwenyewe kilaza...unakuaje na kipanga.Mbona mimi classmates zangu vilaza ndo mapadre?
Suala la urijali je!? Linazingatiwa!??Navyojua upadre ni kutoa huduma...unapaswa kuhudumia watu kiroho na kimwili popote pale ulipo au unapotumwa na kanisa.mfano unaweza tumwa vitani ukatoe sakrament au sehemu zenye shida.. ukiwa na ulemavu kwa namna moja au nyingine utahitaji kuangaliwa au kupatiwa huduma za tofauti ambazo zinaweza kukufanya usitoe huduma kwa kiwango kinachostahili...imagine, kuhudumia wagonjwa, walemavu, vitani, kuendesha misa inahitaji uwe fiti ili uyafanye hayo majukumu kikamilifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni mwendawazim lkn pia ikiwezekana ni mpumbavu hakuna padre mbumbumbu hata siku moja ma wala kanisa halina itaratibu huo lbd kama hao wa upande wa pili tatizo mnakalilishwa wajinga nyie.Mbona mapadre wengi wengi wamefeli form six wakaona upadre ndo option pekee ya kukimbilia? Kuna rafiki yangu padre ana division four ya hgl lakini ni padre. Je huyo naye utasema ni wito?
Hakuna wa hivyo hata siku moja wale ni wasomi.Mchane hadharani kiroho safi tu maana hakusoma seminary amebashitelize!tumjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Padre ni lazima awe rijali.ili athibitishe kujitoa kwake kwa kuyashinda majaribuSuala la urijali je!? Linazingatiwa!??
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Yupo kwenye nyumba ya mapadre wazee kule Pasua na ule mguu wake.nimemkumbuka padre ndemino parokia ya uparo jimbo la moshi miaka ya 90, sijui bado yupo kwenye utumishi?
Nmejuaje nini
kuna kifungu kwenye biblia kinasema walemavu wote motoni pamoja na wafi.ajiNakuambiaje huyo alipata ulemavu akiwa padre na si kabla ya kuwa padre....
Yani Upadre si chaka la kukimbilia eti kwa kuwa upo unfitt kwenye jamii basi ukimbilie upadre..hiyo ndio maana ya kujitoa sadaka..
Urijali wake unapimwaje!!???Padre ni lazima awe rijali.ili athibitishe kujitoa kwake kwa kuyashinda majaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikujibu unitag...Katika kipengele cha hanithi mapadre wanapimwa vipi ili kujiridhisha kuwa ni wazima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninaposali yupo mwinjilisti ni kipofu so makanisa yetu wapo ila wachacheKingo ukweli sijawahi ona ila mimi nimespecify.
Ukitaka kubarikiwa na Mungu mtolee sadaka iliyokamili isiyo na mapungufu.Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)
Kwanini...?
Upadre ni Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..
Wajuzi watajazia nyama
Psychologist wanajua namna ya kuwatambua wanaume wasio rijali. Wakimtilia shaka wanampeleka hospital kuthibitishwa na daktari.Urijali wake unapimwaje!!???
Musa alikuwa na kigugugugugumizi na kithembe vyote kwa pamojaMkuu usikufuru.
Mbele ya Mungu, mapungufu yako ya kimwili sio issue kabisa. Mungu akikuchagua, hakuna wa kupinga. Yeyote yule anaweza kupakwa mafuta. Ni mungu mwenyewe anaamua.
Unamjua Musa wewe?
Nenda kamsome halafu utagundua alikuwa na ulemavu gani.
Mkuu hujaona hata wenye ulemavu wa macho wanaolazimika kutumia miwani na wale waliopoteza nywele kichwa kizima?Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je ni kigezo kimojawapo cha kuwa Padre?