Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

Yani we nae unapuyanga. Sasa idadi yenu na yetu unaona ni sawa?

Na je kama mmetuzidi wanaojua kusoma na kuandika kwa nini tukikutanishwa katika mtihani mmoja tunawafanya matusi?? Tunawatupa mbali mno? Sasa hapo mwenye elimu bora ni yupi?

Juzi niliwaambia kitu kuwa Kilimanjaro kielimu ni "kubwa jinga" najua hukunielewa! Idadi ya mashule kubwa, wanaojua kusoma wengi, lakini inapokuja mitihani mnapigwa na mhaya. "Kubwa jinga Kilimanjaro"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una akili ndogo kama punje ya mtama..

Kama shida ni Idadi ya watu wa Kagera kuwa wengi mbona Dar es salaam , Mwanza , Mbeya na Arusha zina watu wengi kushinda Kagera kwa mujibu wa hizo takwimu lakini bado zina kiwango cha watu wengi wanaojua Kusoma na kuandika kushinda Kagera ?

Kiufupi mkoa wa kagera hamna kitu... kama tuu kusoma na kuandika bado kunawashinda mnatoa wapi jeuri ya kujiita mmeelimika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote unavyoongea havina tofauti na uharo kwa sababu huweki uthibitisho... kwahiyo ni upuuuzi mtupu unaongea..weka uthibitisho kama mimi nilivyoweka uthibitisho asilimia 76 tuu ya wakazi wa Kagera ndio wanaojua kusoma na kuandika wakati Kilimanjaro ni asilimia 92..

Ukishindwa kuweka uthibitisho usiniquote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unajionaje kupewa mtihani mmoja na asiyeweza kusoma na kuandika na akakufunikilia mbali?? Huo ndo ukubwa jinga tunaousema. Umejitahidi kutafuta pa kufia, maskini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani niweke tena uthibitisho kwamba kwenye mitihani tunawaacha mbali??

Hebu acha uzembe soma uzi wote toka mwanzo ujitafutie mwenyewe vithibitisho tushaweka vingi usinichoshe. Hii ndo tabu ya kubishana na na watu wagumu kushila mambo ya darasani.

Mnakera jamani dah! Alafu sioni jipya kiukweli. Kwa heshima yako naomba ulale tu maana unazidi kuwadhalilisha wachaga wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna evidence... zaidi ya hisia tuu na kupost vitu ambavyo havihusiani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa hapa umeonyesha ulivyo sufuri, ukipewa aya zinakuchapa bakora unaita beti za mashahiri, halafu hizo hizo unatumia kuniuliza maswali ahahahhaahahjaaja , umeishiwa hoja uislamu ulikuwepo kabla ya mtume, nimetoa Ibrahim, musa, nuhu, yusufu, Isa wote walikuwa waislamu, labda kama una swali jingine , kama hauna ebu tuambie Mungu ana haja gani yeye kuja kupigwa VIBAO na aliwaumba ? ahahahhaahhahaahahahhah
 

Unashangaa kukuuliza maswali kwa hayo mashairi unayo tupia humu
kama hujui koloani is a handbook of satan
njoo uanze udalali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha huku kwengine sasa baada ya kupewa maandiko , umeamua kuleta udaku halafu unaita maneno ya mtume , braza taja huo upupu umetoa kitabu gani cha hadithi?

Mimi sikatai kwamba baba fatuma sio mtume
Ninacho kataa huyu hakutumwa na Mungu
ilaha ni mtume wa ibilisi
na baadhi ya dalili
wakati Biblia Takatifu Imesha Tangaza kabla ya muhammad hajazaliwa
Nikuongeze
sishangai kuuliza hiyo hadithi umepata kitabu gani sababu hii deen wenyewe warabu
wewe haikuhusu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hili jambo Mungu amelieleza kwa uwazi " anakuaje na mwana pasi na mke" akimaanisha ule ujinga wenu wa kumuita bikira maria mama wa Mungu , sasa ujinga kama huu kwanini Mungu asiukataze ? Uwana alioukataza Mungu huko wazi ni ule wa kusema Mungu kamuingilia Mariam akapatikana Yesu, wakati hili ni jambo dogo kwa Mungu hakuna aja ya kumpanda mtu, alisema. Kuwa Yesu akawa kama alivyosema kuwa NURU ikawa, halafu kila siku nakwambia wahab ndio mtume wa wawap ? wewe akili yako inamatatizo uislamu ni Quran na sunah basiiiii sio wahab wala wanubi ahahahhahahaah ahahahhha
 

Unaona ujinga wako
wewe kuhusu lugha Imani ya Wa-Kristo ni zwazwa tu! Hebu shangaa kwa nini Bikira Maria Anamuita Mungu Baba yake
Mungu Mwenyezi ana Uwezo wa kuwa na MWANA pasi na kuwa na Mke! Lakini Mungu wa warabu allah Uwezo huo hana
mpaka apate mbuguma amuingilie as if ni dume la ng'ombe
halafu allah allah ni mwanaume ana mb+-&$ kama wewe
afu na hilo bishia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mmebadirisha maudhui ya uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…