Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

ENDELEENI KUKARIRI TU, Tafuta mikoa yenye watu wasiojua kusoma unambie kagera ni ya ngapi.

Lakin pia zama za nshomile ilikuwa zamani ambapo maprofesa weng walikuwa wahaya na kubania wengine wasio wakagera ktk kupata uprofesa nk. Lakin pia watu hawa wanaongoza kwa cheating sn.

Pia kagera shule ni chache mno na idadi ya wahitimu ni ndogo sn ukilinganisha na mikoa mingine.

Nchi hii inawatu katk mikoa mingine walioenda shule weng, mf Kilimanjaro ( kumbuka walishakuwa na shule ngazi ya kata hata kabla ya 2005 na idadi ni kubwa kubwa ya ya wahitimu), Kigoma ina watu wenye akili sana, Ukerewe, Songea, nk na wanaongezeka kwa kasi hyo Kagare ni zaman hizo
 
Hebu angalia wanafunzi katika wilaya ya muleba kama hawazidi nusu ya mkoa wako huo unaosifia ? Na matokeo haya je halafu unaponiambia shule ni chache sikuelewi leta hizo data . sijaona data hata moja ya watu wa Kilimanjaro ni phorojo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti wanaongoza kwa cheating!!! Umeonesha jinsi gani unaokoteza maneno kwa kuleta simple reason kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
jabali hira aliko kabwa mtume wa warabu umeshaona ni wadhifa!
Hadi uzi WETU adhimu umefungwa kwa ajili ya lugha yako chafu masudi
Sijawai kutoa lugha chafu , mimi ni mtu na heshima zangu, wazee kama wewe mnaozeeka vibaya ni janga , kama sio matusi basi mapicha ya mbwa Anakula mavi, ata kama mimi ni admin nafutilia mbali huo uzi
 
Sijawai kutoa lugha chafu , mimi ni mtu na heshima zangu, wazee kama wewe mnaozeeka vibaya ni janga , kama sio matusi basi mapicha ya mbwa Anakula mavi, ata kama mimi ni admin nafutilia mbali huo uzi

utajionaje mnyewe ni mtukanaji
unafikiri wenyewe warabu wenye deen yao wakiona unampiga baba fatuma kila siku wanapenda


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ibrahim alikuwa muislamu unatuambia dini ya waarabu !! ahahahaahh Ahahahahhhahjajahajajajjajja , mbona watu wamempiga Mungu wa kichina halafu wewe unafuraia tu

masudi tusichafue hali ya hewa huku tafadhali sana
niliesema hii deen ya warabu sio Mimi ni allah Mwenyewe
na wenye deen yao
wee unaunga unga eti uislamu umeanzia ibrahim
muislamu wa kwanza baba fatuma wa pili bi khadija....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuelewa Quran mdogo wangu, Mohamadi ni wa kwanza kwa nyakati zake, hii dini ilikuwepo Mohamadi ajazaliwa

QURAN 42:13
";Amekuamrisheni DINI ile ile aliyo muhusia Nuhu, na tuliyokufunulia wewe (Mohammed) ,na tuliyo wausia Ibrahim na musa na Isa, kwamba shikeni DINI wala msifarikiane";

umeona mambo sasa hii dini kitambo , sana ila kila Uma mtume wa uma ule anakuwa wakwanza kuhuisha, ata Musa alikua wa kwanza kuhuisha kwa zama zake
Halafu huyu wahabi kapewa utume vatican ? maana ndio nashangaa unavyomleta hapa kama vile ni chanzo rasmi cha uislamu unashangaza kweli, swali lingine kijana nikutoe tongotongo
 

Wewe binafsi na familia yako unafaidika nini na Kilimanjaro au Kagera iwe ya kwanza, je vitu hivi vinaleta impact gani kwako? hao wanaoongoza kutoka Kilimanjaro waliwahi kukusaidia nini?
 
Nilitoa rai kuwa ntakapokuja na data naomba watu wasikimbie bali tuendelee kubishana kisayansi ( tukiwa na ushahidi na sio hisia)..

Kwa mujibu wa National Bureau of statistics Tanzania ukipenda iite nbs ( unaweza kuwatembelea kupitia tovuti yao nbs.go.tz) Mkoa wa Kagera umepitwa mbali sana na mkoa wa Kilimanjaro kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaojua kusoma na kuandika.


Kwa maneno mengine ni hivii, pamoja na masifa na mbwembwe za wakazi wa mkoa wa kagera ni asilimia 76 tuu ya wakazi wa mkoani Kagera wanaojua kusoma na kuandika ili hali Asimilia 92 ya wakazi wa Mkoa wa kilimanjaro wanajua kusoma na kuandika !

Kwa mantiki hii , ni wazi mkoa wa kagera upo nyuma sana maana hata Tanga (wanalchukiliwa kirahisi kwenhe elimu)wamewapita kwa kuwa na asilimia 79 ya wanaojua kusoma na kuandika... hivyo basi kuilinganisha Kagera na Kilimanjaro kwenye suala la Elimu ni sawa na kulingamisha Mlima na kichuguu maana mkoa wa kilimanjaro unahitaji asilimia 8 tuu kutimiza asilimia 100 ya watu wanaojua kusoma kuandika wakati kwa Kagera inahitajika asilimia 24 nzima .

Kumbuka hapo tunazungumzia watu zaidi laki 5 hawajui kusoma wala kuandika katika mkoa wa wasomi
......

Inasikitishana sana kwa kweli maana huo muda wa kujisifu hapa wangetumia hata kufundisha wenzao kusoma na kuandika...

Mjisomee wenyewe hapo chini kwenye attachments.View attachment 2012_CENSUSVol3WALLCHART.pdf

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Tanzania_in_Figures_2015 (1).pdf
    4.1 MB · Views: 30

Hapa Amekuamrisheni deen ile ile
anawaambia kina nani
koloani ijibu hatuna haja ya jibu na masudi
naona umeelewa mkulu


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20181101_184031_130.jpg
    38.9 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…