Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

Katika darasa lolote lile
top 5 lazima Muhaya awepo
shida ya Muhaya.hana akili ya kuendeleza alipotaka
na ndiyo maana mkoa wao upo chini sanaa.
lakini wakiwa ndani ya mikoa/sehemu zingine huwa wana maendeleo kweli

mchagga yeye kama Muhindi.
anachuma mali huku,bt anakumbuka kujenga kwao.
kitu hicho muhaya yeye hana.

Kagera kuna toa wasomi wengi sanaa.kuliko mikoa mingine yote
hata ukileta list ya ma professor na madoctor, (PhD)
Bila Shaka Kagera itaitupa kwa mbali Sanaa Kilimanjaro.

kuhus ubora wa elimu,shule nyingi za Kilimanjaro ni za private compare na Kagera.
japo kwenye ufaulu.mikoa hii huwa inachuana sanaa.

Muhaya ana akili ya darasani na kusoma ,lakini akili ya maisha hana
lakini mchagga akili ya darasani hana na wala ya kusoma bt anayo ya maisha
hilo ndilo gepu kubwa sana baina ya Hawa watu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huu uzi muda si mrefu utageuka kuwa uwanja wa ngumi kati ya k'njaro na Kagera.
Hebu acha mambo yenu msaidieni Ndalichako kwa nini mikoa mingine Kama kwake Kigoma na jirani zake Tabora, Katavi, Rukwa kwa nini hawafanyi vizuri?

Mkuuu siku hizi mkuu sisi ma Mangi na akina Nshomile tumeshakua ndugu sasa, tunaoana sanaaa . Chaga and Haya wedding umekua kama hashtag.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu usidanganye umma.

Kagera inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi tanzania wasio na elimu.

Kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na watu wenye elimu kubwa wasio wasomi.

Linganisha matumizi ya elimu kilimanjaro na kagera.
Pia
Ulinganishe matumizi ya wasomi kagera na kilinanjaro.



Msomi mwenye masters kutoka kagera ukimlinganisha kielimu ni sawa na msomi mwenye kidato cha sita kutoka kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii yote ni chuki Tu binafsi Kwa elimu ya kagera.unataka kuniambia wasomi WA kagera hawajaendelea au ni maskini.we vip kwanza Acha kulingani elimu ya kagera na huko Kilimanjaro.asilimia kubwa ya wabongo wanaisikia Tu kagera wala hawajawahi kufika naomba utoe elfu 60 tembelea vijiji vya wahaya na unipe mrejesho kama elimu Yao inawasaidia au vip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mkoa watu wake wanapenda sifa mno cha ajabu kwao ni pabaya wala hawapaenselezi, yaani moundombinu mibovu, mkoa kama kijiji vile.....

wako kujisifia tu, ukifika kwao vi nyumba vya ajabu ajabu tu
Una uhakika na unachokiongea au unaaminishwa Tu . ulishawahi tembela vijiji vya wahaya lakini Achana na mji wa bukoba.mambo yanajengwa vijijini huko . vijiji vya bukoba huwezi linganisha na vijiji vya popote pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani ameishawacompair nyie wachaga ndo mnaanzisha nyuzi kila siku kujilinganisha na kabila hili la pili Kwa ukubwa nchini na lenye maendeleo na siku hiz limepunguza masifa na kujifanyia mambo yake
Mchaga akifanya kazi BOT atakuambia nafanya tu vibarua kidogo hapa mjiji

Mhaya akiwa mlinzi utasikia mimi ni security specialist sijui nini nini

U people stop comparing ur self with chaga, hmuwafikiii hata punje

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia boys wahaya ni wangapi halafu unipe mrejesho.na TO WA mwaka huu form six katokea wap .uhayani kila mwaka huwezi kosa walau mmoja katika list.na je darasa la saba mwaka Jana shule tano za top ten zimetoka kagera subiri form four uone na utantag
Waweke kwanza ya form two yametoka leo A some hayo majina ya kike top ten na kiume top ten ndiyo ataufahamu Mkoa wa Kilimanjaro na kwa kifupi wachaga. Mabinti Karibu wote top ten ni wachaga hata kama wanasoma .mikoa .lingine lakini ni chagas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la threads kama hizi watu wanatumia zaidi hisia kuliko uhalisia. Japo sipendi kugeneralize kuwa kabila fulani wana akili kuzidi lingine lakini kwa statistics zangu zisizo rasmi kwa miaka ya hivi karibuni wachaga wamewazidi wahaya katika sekta ya elimu. Nazungumzia quantity na sio quality, wachaga ni wengi kuliko wahaya.

Mfano mzuri chuo cha mkwawa miaka kadhaa iliyopita asilimia kubwa ya lecturers walikua wachaga. Na kuna siku niliona document fulani ya SUA inahusu research supervision na most of supervisors walikua chagas.

Toka nakua nilikua nasikia wahaya wamesoma sana lakini katika elimu yangu sijawahi kubahatika kuiona hiyo dominance yao. Japo nimekutana nao lakini si kwa extent niliyokua nafikiria na hata hao wachache walikua na average performance kama sie wengine tu, may be shule na vyuo nilivyosoma ni vya kata.

Hii ni personal opinion tu na not necessarily a fact. Mi ni Mwa......



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera MNA elimu ila Kilimanjaro kuna maendeleo sio kitot mpaka Leo hii 2019 Barbara za lami zipo mpaka kweny vijiji moshi,marangu,kirua,rombo,kibosho,same,etc kiuchumi ndio usiseme hospitals je?

Kagerra endeleeni kusoma tu huku pochi Nene kweli kweli
Karibu moshi usafishe macho wew ishengoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom