Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

Jibu sahihi umelikanusha hapo mwanzo wa mada yako may be kwa kuogopa kushambuliwa.
Mimi nasemaje watu wa kagera wana akili sana(sio wote) za darasani kuliko baadhi ya watu wa mikoa fulani.
Kwa mfano huwezi kuwalinganisha mhaya na mzaramo kwa akili za darasani.
Huo ndio ukweli.
Hutaki unaacha.
Mwalalayo muta bakulu?
 
Hizo akili nyingi zimewasaidia nini?
 
Jibu sahihi umelikanusha hapo mwanzo wa mada yako may be kwa kuogopa kushambuliwa.
Mimi nasemaje watu wa kagera wana akili sana(sio wote) za darasani kuliko baadhi ya watu wa mikoa fulani.
Kwa mfano huwezi kuwalinganisha mhaya na mzaramo kwa akili za darasani.
Huo ndio ukweli.
Hutaki unaacha.
Mwalalayo muta bakulu?
Twaimuka, mwaikamu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usidanganye umma.

Kagera inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi tanzania wasio na elimu.

Kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na watu wenye elimu kubwa wasio wasomi.

Linganisha matumizi ya elimu kilimanjaro na kagera.
Pia
Ulinganishe matumizi ya wasomi kagera na kilinanjaro.

Msomi mwenye masters kutoka kagera ukimlinganisha kielimu ni sawa na msomi mwenye kidato cha sita kutoka kilimanjaro
Ili iweje? Na tupate faida gani? Kila mtu si anajua ni mkoa gani unafanya vzr kielimu shida nyie watu mmechukua sifa ya kupenda masifa na kujiona superior kuliko mtu yoyote bongo.ila ukweli ndo huo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nimekuelewa
Elimu za darasani!!
Jibu sahihi umelikanusha hapo mwanzo wa mada yako may be kwa kuogopa kushambuliwa.
Mimi nasemaje watu wa kagera wana akili sana(sio wote) za darasani kuliko baadhi ya watu wa mikoa fulani.
Kwa mfano huwezi kuwalinganisha mhaya na mzaramo kwa akili za darasani.
Huo ndio ukweli.
Hutaki unaacha.
Mwalalayo muta bakulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mkoa watu wake wanapenda sifa mno cha ajabu kwao ni pabaya wala hawapaenselezi, yaani moundombinu mibovu, mkoa kama kijiji vile.....

wako kujisifia tu, ukifika kwao vi nyumba vya ajabu ajabu tu
 
Sio kwamba Watu au Wanafunzi wa Kagera wana akili sana kuliko wengine lakini ni juhudi za Wananchi, Walimu na Wazazi hasa kutathmini elimu kwa mtoto kuliko kitu chochote kile

Ukichungulia vyuo vikuu asilimia kubwa ya Wanafunzi wanatoka mkoa huu, hii yote ni kwa sababu ya ubora wa elimu na morali iliyopo kwa Walimu wa mkoa huu.

Sawa utamaduni wa kupenda elimu umekuwepo sana mkoa huu tangu enzi za machief au abakama lakini hio sio sababu kuwa mkoa ndo utoe wasomi wote hivyo, hii yote ni ubora wa elimu, shule zilivyopo katika mkoa huu.

Mikoa mingine nendeni Kagera mkajifunze hasa wilaya kuu ya Bukoba. Na kama unataka mtoto wake afaulu vizuri na apate elimu nzuri mpeleke Kagera maana ni mazingira mazuri sana ya kusomea, ndo maana hata Wahaya wengi waliopo Dar utaona watoto wake wapo katika shule za Kagera ambazo nyingi zinafanya vizuri na hata za Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una data?weka hizo takwimu tokea uhuru mpaka sasa kuthibitisha unachosema.Lasivyo unaongozwa na Regionphobia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize hao wasome wanaoingia 10 bora kila mwaka wanapotelea wapi mbona huku juu hatuwaoni, tupo wa mikoa mingine
 
Sio kwamba Watu au Wanafunzi wa Kagera wana akili sana kuliko wengine lakini ni juhudi za Wananchi, Walimu na Wazazi hasa kutathmini elimu kwa mtoto kuliko kitu chochote kile

Ukichungulia vyuo vikuu asilimia kubwa ya Wanafunzi wanatoka mkoa huu, hii yote ni kwa sababu ya ubora wa elimu na morali iliyopo kwa Walimu wa mkoa huu.

Sawa utamaduni wa kupenda elimu umekuwepo sana mkoa huu tangu enzi za machief au abakama lakini hio sio sababu kuwa mkoa ndo utoe wasomi wote hivyo, hii yote ni ubora wa elimu, shule zilivyopo katika mkoa huu.

Mikoa mingine nendeni Kagera mkajifunze hasa wilaya kuu ya Bukoba. Na kama unataka mtoto wake afaulu vizuri na apate elimu nzuri mpeleke Kagera maana ni mazingira mazuri sana ya kusomea, ndo maana hata Wahaya wengi waliopo Dar utaona watoto wake wapo katika shule za Kagera ambazo nyingi zinafanya vizuri na hata za Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lipia tangazo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mkoa watu wake wanapenda sifa mno cha ajabu kwao ni pabaya wala hawapaenselezi, yaani moundombinu mibovu, mkoa kama kijiji vile.....

wako kujisifia tu, ukifika kwao vi nyumba vya ajabu ajabu tu
Angalieni hapo chini
Screenshot_20190105-073906_Drive.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom