Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,381
14,186
Sio kwamba Watu au Wanafunzi wa Kagera wana akili sana kuliko wengine lakini ni juhudi za Wananchi, Walimu na Wazazi hasa kutathmini elimu kwa mtoto kuliko kitu chochote kile

Ukichungulia vyuo vikuu asilimia kubwa ya Wanafunzi wanatoka mkoa huu, hii yote ni kwa sababu ya ubora wa elimu na morali iliyopo kwa Walimu wa mkoa huu.

Sawa utamaduni wa kupenda elimu umekuwepo sana mkoa huu tangu enzi za machief au abakama lakini hio sio sababu kuwa mkoa ndo utoe wasomi wote hivyo, hii yote ni ubora wa elimu, shule zilivyopo katika mkoa huu.

Mikoa mingine nendeni Kagera mkajifunze hasa wilaya kuu ya Bukoba. Na kama unataka mtoto wake afaulu vizuri na apate elimu nzuri mpeleke Kagera maana ni mazingira mazuri sana ya kusomea, ndo maana hata Wahaya wengi waliopo Dar utaona watoto wake wapo katika shule za Kagera ambazo nyingi zinafanya vizuri na hata za Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huu uzi muda si mrefu utageuka kuwa uwanja wa ngumi kati ya k'njaro na Kagera.
Hebu acha mambo yenu msaidieni Ndalichako kwa nini mikoa mingine Kama kwake Kigoma na jirani zake Tabora, Katavi, Rukwa kwa nini hawafanyi vizuri?
 
Usitake battle ambayo mshindi anajulikana .najua kuwa Kilimanjaro nayo inafanya vzr kielimu .Sawa lakini mkoa huo huwezi linganisha kagera kielimu.anzisha nawe Uzi ukileta battle ya kuulinganisha mikoa miwili hapa tunaoongelea mkoa wa kagera na mafanikio yake kielimu.kwanini watu wa Kilimanjaro mnapenda Sana battle na hawa watu wa kagera ?
Mkuu weka majina ya wanafuzi wa kagera walio wai kutisha kwenye matokea ya kidato cha nne na sita na sisi tuweke wa Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijataka aya maneno weka data na mimi nishushe data

Sijui Kwa nini mkoa WA kagera au Kilimanjaro ukisifiwa lazima battle iwepo Kati mikoa hii miwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Kwamba watu au wanafunzi wa kagera wa mkoa huu Wana akili Sana kuliko watz wengine lakini ni juhudi za wananchi ,walimu na wazazi hasa kuthamini elimu Kwa mtoto kuliko kitu chochote kile.ukichungulia vyuo vikuu asilimia kubwa ya wanafunzi wanatoka mkoa huu ,hii yote ni Kwa sababu ya ubora wa elimu na morali iliyopo Kwa waalimu wa mkoa huu.sawa utamaduni wa kupenda elimu umekuwepo Sana mkoa huu tangu enzi za machief au abakama.lakini hio sio sababu kuwa mkoa ndo utoe wasomi wote hivyo.hii yote ni ubora wa elimu,shule vilivyopo katika mkoa huu.mikoa mingine nendeni kagera mkajifunze hasa wilaya kuu ya bukoba.Na kama unataka mtoto wake afaulu vizr na apate elimu nzr mpeleke kagera maana ni mazingira mazuri Sana ya kusomea.ndo maana hata wahaya wengi waliopo dar utaona watoto wake wapo katika shule za kagera ambazo nyingi zinafanya vzr na hata za serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli kabisa ingawaje kuna hujuma lakini bado Wahaya hawakati tamaa, apa nionacho ni mwamko mkubwa na jadi ya Wahaya kuthamini ELIMU kuliko kitu chochote.
Mikoa mingine mna la kijifunza apa unamkuta Mhaya hana ata baiskeli lakini anasomesha watoto watatu privates school kwa mwaka anatumia zaidi ya milioni sita.

Hili nijambo kubwa linalostahili kuhigwa. NSHOMILE

Faida ya elimu hiyo kwanza kwa kagera , pili kwa nchi , ni ipi?
 
Nikweli kabisa ingawaje kuna hujuma lakini bado Wahaya hawakati tamaa, apa nionacho ni mwamko mkubwa na jadi ya Wahaya kuthamini ELIMU kuliko kitu chochote.
Mikoa mingine mna la kijifunza apa unamkuta Mhaya hana ata baiskeli lakini anasomesha watoto watatu privates school kwa mwaka anatumia zaidi ya milioni sita.

Hili nijambo kubwa linalostahili kuhigwa. NSHOMILE

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuhigwa ndiyo nini? Ni ki-NSHOMILE sio!
 
Mkuu weka majina ya wanafuzi wa kagera walio wai kutisha kwenye matokea ya kidato cha nne na sita na sisi tuweke wa Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Waweke kwanza ya form two yametoka leo A some hayo majina ya kike top ten na kiume top ten ndiyo ataufahamu Mkoa wa Kilimanjaro na kwa kifupi wachaga. Mabinti Karibu wote top ten ni wachaga hata kama wanasoma .mikoa .lingine lakini ni chagas.
 
Kilimanjaro Wana shule nyingi kuliko kagera lakini elimu kagera ndo kinara miaka yote na tz nzima inajua Hilo ndo maana wanaitwa nshomile

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia historia iliyosababisha wakaitwa Ishomile.

Ilikuja wakati wa mkoloni Mjermani kuanzisha Shule kila palipokua na kanisa la Kiluteri.
Wahaya wengi wakawa wanaanza kujiunga na uluteri wakiwa wanasema wanakwenda kwa Ishomile .
Ndipo Kanisa Katoliki likaandika Barua Vatikani kuiomba kuwa wao nao watoe tamko lankuanzisha Shule kwenye Makanisa yao yoye nchini kwani wameona kuwa watu wanavutiwa kwenda kusoma.

Kanisa katoliki kupitia Maelekezo ya vatikani likaanzisha mfumo wa Kanisa na shule nchi nzima na likafanikiwa kwa kiwango cha juu kuliko Waluteri wakati huo kutokana na ukubwa wa kanisa la RC ni kuanzia Vatican na support yake ni kubwa.

Ndio Mwanzo wa neno Ishomire lilipoasisiwa mana ikumbukwe hata Kadinali wa kwanza Mwafrika alikua ni Muhaya. Alihamasisha sana kutekelezwa kwa tamko/waraka huo wa kuanzisha kanisa na Shule ili watu wasikimbilie kwa waluteri wakati huo wa wakoloni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana ubishi wa asili usiokuwa wa maana, kuanzia nchi hii inapata Uhuru hadi leo Mkoa wa Kagera haujawahi kubaki nyuma kwenye Elimu haijalishi ni katika nafasi ipi na haijalishi faida na hasara tofauti na mkoa wowote hapa nchini ila watu wanapenda kubishi tu ili mradi wanabisha.
 
Back
Top Bottom