Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,210
- 4,726
Wadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.
Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI. Nimetamani nikasome nipate shahada ya uzamili ila sasa sikutani na matangazo ya uhitaji wa hawa watu.
Nimejaribu fatilia nikapewa nyepesi kwamba UDOM na CBE wanatumia waalim wale wale kwenye kufundisha hayo masomo na wapo wachache sana. Sijajua mkuu na hizo taasis za elimu hawana mpango wa kuajiri au ni nini.
Wadau tupeane mbili tatu za kutwa