Sijawahi kuona kazi za Walimu wa hisabati (TUTORIAL ASSNT) Kwenye vyuo vya kati vya UMMA na VETA

Murashani GALACTICO

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,177
4,652
Wadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.

Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI. Nimetamani nikasome nipate shahada ya uzamili ila sasa sikutani na matangazo ya uhitaji wa hawa watu.

Nimejaribu fatilia nikapewa nyepesi kwamba UDOM na CBE wanatumia waalim wale wale kwenye kufundisha hayo masomo na wapo wachache sana. Sijajua mkuu na hizo taasis za elimu hawana mpango wa kuajiri au ni nini.

Wadau tupeane mbili tatu za kutwa
 
Veta Na Vyuo Vinginevyo Matangazo Wametoa Sana. Labda Ulikuwa Hujamaliza Chuo/Hukapata Bahati Nzuri Sana Ya Kuyaona
Mkuu wametoa matangazo lini. Nimekuwa nafatilia tangu mwaka 2017 sijaona uhitaji wa tutorial assistants kwenye vyuo vya kati vya UMMA.
Endapo basi watatoa naomba huu uwe uzi maalum wa ku share mkuu.
 
Mimi Hili Ndiyo Jukwaa Langu Pendwa Ukitazama Kila Tangazo La Kazi Lazima Ukute Comments Zangu.

Veta Wametoa Nimeona Tena Hapa Hapa Jamiiforums.com, Mwezi Kwa Usahihi Siwezi Kukumbuka.

Ila Nenda Searching Thread Zenye Hitaji Lako Utaona.
 
Wadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.
Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI...
Matangazo yapo ila nenda kwenye vyuo hivyo kaombe ata part time job kwanza permanent itakukuitia hapo
 
Nimezungumzia sana somo la hisabati maana somo hilo hufundishwa vyuo vya kati vya umma kama vyuo vya afya, cbe, vyuo vya utumishi, lgti na vyuo vya veta pia. Sijawahi kuona wakihitaji waalim wa masomo hayo.

Nimefatilia hapo cbe dodoma waalimnwa hisabat ndio wanafundisha UDOM pia. Sasa sijui ni kwamba hawajapata kibali cha kuajiri au wanajitisheleza.

Emu tupeane mbili tatu za kufika hukoo
 
Kwa uzoefu wangu mimi walimu wa maths vyuoni hasa vyuo vya Engineering au vya biashara huwa wanaajiriwa wachache sana kwa ajili ya kuiongoza idara ya General studies.
Waliobaki huwa wanakodiwa kwa kufundisha part time tu.

Utakuta mwalimu huyo huyo mmoja anafundisha kwenye vyuo vitatu tofauti.
Utamkuta asubuhi anafundisha DIT,mchana anafundisha DMI,jioni utamkuta anafundisha ST Joseph.

Ushauri wangu wa mwisho ukienda kusoma masters usisome tena maths bali somea masters ya Statistics and economics au course yoyote inayofanana na hiyo kwa maana utakuwa na wigo mpana wa kuomba ajira.

Ukienda kusoma maths tena utaendelea kusota miaka yote kwa maana ukisomea maths itakuwa inaku limit uwe mwalimu tu.
 
Matangazo yapo ila nenda kwenye vyuo hivyo kaombe ata part time job kwanza permanent itakukuitia hapo
Wadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.

Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI. Nimetamani nikasome nipate shahada ya uzamili ila sasa sikutani na matangazo ya uhitaji wa hawa watu.

Nimejaribu fatilia nikapewa nyepesi kwamba UDOM na CBE wanatumia waalim wale wale kwenye kufundisha hayo masomo na wapo wachache sana. Sijajua mkuu na hizo taasis za elimu hawana mpango wa kuajiri au ni nini.

Wadau tupeane mbili tatu za kutwa
Ingia website ya utumishi kuna kazi zenu zimewekwa leo kaaply
 
Nimezungumzia sana somo la hisabati maana somo hilo hufundishwa vyuo vya kati vya umma kama vyuo vya afya, cbe, vyuo vya utumishi, lgti na vyuo vya veta pia. Sijawahi kuona wakihitaji waalim wa masomo hayo.

Nimefatilia hapo cbe dodoma waalimnwa hisabat ndio wanafundisha UDOM pia. Sasa sijui ni kwamba hawajapata kibali cha kuajiri au wanajitisheleza.

Emu tupeane mbili tatu za kufika hukoo
Vyuo vya kati vya afya wanafundishwa Math uliyosomea wewe?

Najua Kuna calculation za tasnia zao kwa wewe ambae hujasoma afya huwezi. Kwa mfano pharmaceutical calculation kwa pharmacy.
 
Mkuu ukishasikia maths huwa haibadiliki formula ni zile zile dunia nzima hata uende wapi.
Sasa hiyo uliyotolea mfano wewe sio maths hyo labda tuite hvyo hvyo pharmacy
Vyuo vya kati vya afya wanafundishwa Math uliyosomea wewe?

Najua Kuna calculation za tasnia zao kwa wewe ambae hujasoma afya huwezi. Kwa mfano pharmaceutical calculation kwa pharmacy.
 
Tunaangalia majority mkuu kwa mazingira ya Kitanzania ukishasoma maths,physics au chemistry ni kwamba umejiandaa uwe mwalimu.
Huwezi kusomea maths halafu uende kuomba kazi kiwandani au kwenye kilimo watakushangaa
Siyo kweli kwamba ukisoma Maths utakuwa mwalimu tu. Maths ina application sehemu mbalimbali.
 
Tunaangalia majority mkuu kwa mazingira ya Kitanzania ukishasoma maths,physics au chemistry ni kwamba umejiandaa uwe mwalimu.
Huwezi kusomea maths halafu uende kuomba kazi kiwandani au kwenye kilimo watakushangaa

Mshauri afanye applied Maths uone kama atalala njaa. Nimesoma na jamaa zangu wengi tu applied maths hivi sasa kila mmoja yupo maeneo mazuri tu. Wapo Assistant Lectuters na Lecturers, wapo wanaofanya mambo ya Disease modelling kwenye research centres, wapo wanaofanya kazi NBS, wengine wapo mahospitalini, wapo wengine huko nchi za watu weupe wanapiga kazi. Kama kweli anataka Maths imtoe aende akongeze shahada ya pili. Apite pale CoNAS akapige miaka yake miwili then atakuja kunishukuru baadaye.
 
Mkuu unataka kuniambia hiyo NBS na research centres zina capability ya kuchukua graduates wote wa kila mwaka wa hiyo kozi?

Mkuu Maths kwenye kilimo ndiyo sehemu yake kiongozi. Hapa nazungumzia mtu mwenye shahada ya Uzamili. Tena wapo wengi tu wanafanya kazi kwenye masuala ya kilimo, ingawa sitaenda sana kiundani.
 
Wadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.

Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI. Nimetamani nikasome nipate shahada ya uzamili ila sasa sikutani na matangazo ya uhitaji wa hawa watu.

Nimejaribu fatilia nikapewa nyepesi kwamba UDOM na CBE wanatumia waalim wale wale kwenye kufundisha hayo masomo na wapo wachache sana. Sijajua mkuu na hizo taasis za elimu hawana mpango wa kuajiri au ni nini.

Wadau tupeane mbili tatu za kutwa
Yapi mengi brother jaribu kufatilia.
 
Mkuu unataka kuniambia hiyo NBS na research centres zina capability ya kuchukua graduates wote wa kila mwaka wa hiyo kozi?

Hakuna kozi ambayo watu wote wakihitimu wanapata kazi. Mimi nilijibu hoja yako kuwa ukisoma Maths utaishia kuwa mwalimu tu. Mtu huwezi kuwa mwalimu kama hujusomea ualimu, sana sana utakuwa unafundisha tu kimyume cha utaratibu.
 
kufundisha veta It need uwe na Diploma. ni mara chache sana wakahitaji degree
Umekariri vibaya tuu wenye degres wapo kibao unadhani hawahitaji wasomi wenye viwango
Wapo mpk wenye masters kabisa,mnatofautishwa mishahara tu hao wa diploma na kuna baadhi ya majukumu
Na pia mtu wa diploma anakuwa tutor assistant,wakati mwenye degree ni tutor
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom