Sijawahi kuona kazi za Walimu wa hisabati (TUTORIAL ASSNT) Kwenye vyuo vya kati vya UMMA na VETA

Nimezungumzia sana somo la hisabati maana somo hilo hufundishwa vyuo vya kati vya umma kama vyuo vya afya, cbe, vyuo vya utumishi, lgti na vyuo vya veta pia. Sijawahi kuona wakihitaji waalim wa masomo hayo.

Nimefatilia hapo cbe dodoma waalimnwa hisabat ndio wanafundisha UDOM pia. Sasa sijui ni kwamba hawajapata kibali cha kuajiri au wanajitisheleza.

Emu tupeane mbili tatu za kufika hukoo
Mkuu vyuo vingizo havina hizo kozi za hesabu kama afya uliyoandika hapo
Cbe sawa wanasoma business mathematics,na veta kuna hesbu za kiufundi
 
Tunaangalia majority mkuu kwa mazingira ya Kitanzania ukishasoma maths,physics au chemistry ni kwamba umejiandaa uwe mwalimu.
Huwezi kusomea maths halafu uende kuomba kazi kiwandani au kwenye kilimo watakushangaa

Unazingua jembe
Aliyesoma maths hana tofauti na mtu wa stastics au economics sometimes wanafanya kai moja kama statician n.k
 
Umekariri vibaya tuu wenye degres wapo kibao unadhani hawahitaji wasomi wenye viwango
Wapo mpk wenye masters kabisa,mnatofautishwa mishahara tu hao wa diploma na kuna baadhi ya majukumu
Na pia mtu wa diploma anakuwa tutor assistant,wakati mwenye degree ni tutor

Inaonekana una uelewa mdogo sana ndugu yangu. Soma tena kitu nimeandika.

Nimekwambia walimu wa Veta, Massive ni Diploma. at some rare case wana ajili degree. tena waajiriwa wengi wa degree veta wapo upande wa Management Hasa HODs na Sio Academicians

na hayo mambo ya Tutor na Tutor Ass, Lecturer na Ass. Lecturer Veta hakuna, Mwalimu ni mwalimu tuu, Vyeo vyao ni kawaida may be Senior, Junior or Principal
 
Hakuna kozi ambayo watu wote wakihitimu wanapata kazi. Mimi nilijibu hoja yako kuwa ukisoma Maths utaishia kuwa mwalimu tu. Mtu huwezi kuwa mwalimu kama hujusomea ualimu, sana sana utakuwa unafundisha tu kimyume cha utaratibu.

Walimu wa vyuo vikuu wamesomea wapi ualimu???
 
Mkuu vyuo vingizo havina hizo kozi za hesabu kama afya uliyoandika hapo
Cbe sawa wanasoma business mathematics,na veta kuna hesbu za kiufundi
Mm nimekaa na waalim wa veta na waalim wa cbe achilia mbali wanafunzi wao. Yapo masomo ya hesabu japo ipo very practical kulingana na masomo yao. Nina somesha mdogo wangu lgti pale hombolo wanafundishwa hesabu wakiwa diploma mwaka wa kwanza hesabu kama ile ya form 1 na form 2. Sasa unataka kuniambia yy anasoma mambo ya local govt administation anafundishwa hesabu na mtu gani ambaye ni wa tofaut na mm.
Fanyen tafiti mtakuja sadiki nayosemea sasa
 
Mkuu ukishasikia maths huwa haibadiliki formula ni zile zile dunia nzima hata uende wapi.
Sasa hiyo uliyotolea mfano wewe sio maths hyo labda tuite hvyo hvyo pharmacy
Hapana mkuu, zile kitu lazima uwe pharmacist ndio utazielezea. Haziko plain math ni lazima uelezee kifamasia, utafundisha reconstitution au infusion bila kujua hizo concepts?
 
Inaonekana una uelewa mdogo sana ndugu yangu. Soma tena kitu nimeandika.

Nimekwambia walimu wa Veta, Massive ni Diploma. at some rare case wana ajili degree. tena waajiriwa wengi wa degree veta wapo upande wa Management Hasa HODs na Sio Academicians

na hayo mambo ya Tutor na Tutor Ass, Lecturer na Ass. Lecturer Veta hakuna, Mwalimu ni mwalimu tuu, Vyeo vyao ni kawaida may be Senior, Junior or Principal

Tutabishana pasipo na mantiki ww uliongelea general kwenye post yako,by the way nina watu wangu wakaribu wanafundisha veta na mmoja ana bachelor na mwingije masters na hawako kwenye management unabisha usichokijua pamoja na kusema kwako mm niko na uelewa mdogo,kimbe wewe ndo empty set,
Tutor veta wapo fuatilia na utarudisha mrejesho,sijasema lecturer ebu tofautisha hayo maneno
Fukua ata matangazo ya nyuma ya ajira za veta walizotoa post za tutor na sifa ni degree
Karibu tena
 
Inaonekana una uelewa mdogo sana ndugu yangu. Soma tena kitu nimeandika.

Nimekwambia walimu wa Veta, Massive ni Diploma. at some rare case wana ajili degree. tena waajiriwa wengi wa degree veta wapo upande wa Management Hasa HODs na Sio Academicians

na hayo mambo ya Tutor na Tutor Ass, Lecturer na Ass. Lecturer Veta hakuna, Mwalimu ni mwalimu tuu, Vyeo vyao ni kawaida may be Senior, Junior or Principal

👇👇👇👇
Nimesaidia ili ufute kauli yako kwamba veta hakuna tutor,karibu tena

NAFASI ZA KAZI TUTOR – ICT & VOCATIONAL TEACHER, VETA
January 4, 2019 by Global Publishers
computer-science-jobs.jpg

OFISI ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetangaza nafasi za kazi TUTOR – ICT nafasi saba na VOCATIONAL TEACHER – INFORMATION AND COMMUCATION TECHNOLOGY nafasi tano kwa Watanzania. Mwisho wa kuomba kazi hizo ni Januari 11, 2019.
Maombi yote yatatumwa kupitia http://portal.ajira.go.tz

TUTOR – ICT – 7 POST
Employer: Vocational Educational and Training Authority (VETA)
Date Published: 2018-12-29
Application Deadline: 2019-01-11
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Participate in preparations of annual plan and budget through meeting, discussion at departmental level for on ward submission to principal;
ii.To prepare training plans and scheme of works by interpreting curriculum and teaching guidelines in view to achieve set objectives;
iii.To guide trainees in preparing teaching tools and requirements needed to facilitate practical training of vocational trainees in view to widen understanding;
iv.To deliver instructions/teaching through use of various methods of teaching and learning in view to impart knowledge and skills to vocational instructors trainees;
v.To supervise, assess and evaluate vocational instructor trainees carry out teaching practice through physical visits in order to measure the performance of vocational instructor trainees and suggest for remedies (if needed);

vi.To effectively and efficiently carry out assessment and evaluation of training/teaching through tests and examinations with the aim of measuring their understanding;
vii.To initiate improvement of training curriculum in relation to trends in the market through monthly/quarterly report, meetings and forums in view to provide training that will respond to VET curricular requirement;
viii.To provide counselling and guidance to trainees through discussion or consultation in view to ensure good conduct, discipline and solutions to problems facing trainees;
ix.To keep assessment records for the subject he/she is teaching for onward submission to head of Education and training and

x.To effectively and efficiently participate in course evaluation by preparing evaluation tool and involving instructor trainees in evaluation in a view to check relevance of its curricula.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Holder of Bachelor Degree either in Computer Science, Computer Engineering or any other related field from a recognised University with at least three (3) years of relevant work experience.

REMUNERATION: Salary Scale Attractive remuneration package in
Login to Apply

2. VOCATIONAL TEACHER – INFORMATION AND COMMUCATION TECHNOLOGY,. – 5 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Participate in the preparation of annual plan and budget by compiling data from his work station for onward submission to the superior;
ii.Prepare scheme of training by interpreting the curriculum and guidelines in view to achieve optimum results and set objectives;
iii.Prepare appropriate tools and equipment required for presentation/ Demonstration by identifying them as mentioned in a range statement in order to enable conducive training process;
iv.Effectively and efficiently deliver instructions to trainees of level one (1) up to level three (3) only through lectures, demonstrations, discussions and performing intended knowledge skill and attitude in order to produce trainees with the required competencies;
v.Perform formative and summative assessment to preparing and using assessment tools such as oral, written, product assessment and record in Log books in order to evaluate their level of competences;
vi.Participate in curriculum development by initiating improvement recommendations, attending workshops, seminars in order to validate the value of training as per the economic growth demand;
vii.Prepare daily, weekly, monthly, terminal and annual implementation and progress reports by compiling trainee’s assessment forms in view to evaluate training status;
viii.Monitor discipline of trainees by following rules and regulations stipulated in their joining instruction in order to maintain peace and order at the Training Centre;
ix.Guide safe use of training tools and equipment by performing daily preventive and corrective maintenance such as cleaning, lubricating, fault checking and do minor repairing to maintain their life span;
x.Provide cancelling to trainees through physical discussion and advising in order to give direction and guidance for the better life of our trainees and
xi.Prepare monthly, quarterly/annual financial progress report by consolidating progress station records for onward submission to the superior.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Form Four (IV) Certificate with at least 3 credits, plus Diploma either in Computer Science or Computer Engineering with at least 2 years relevant work experience.

Hii imeanza karibuni baada ya Baadhi ya vyuo vya veta kuanza kutoa Diploma na Certificate kwa mfumo wa NTA hivyo inawalazimu kufuata matakwa ya Nacte
 
Naishia hapa kwa leo, ila mama yangu mdogo ni mwl veta ana zaidi ya miaka 10 huko na ana degree level,sijui hiyo karibuni unamaanisha lini?
Japo kwa sasa ame upgrade ana masters
 
Back
Top Bottom