Sijawahi kumtukana mwanamke

Sijawahi kumtukana mwanamke

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,613
Reaction score
7,169
Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija juu basi mie hunyamaza.

Kuna siku tulikosana na mke wangu Dodoma hotel usiku,alifoka sana lakini mie nilitulia kimya mpaka akajiona mjinga. Somo kubwa ni kwamba huna haja ya kumtukana au kumpiga mwanamke wako,una mahali pa kumchapa hapo ndio mchape sawasawa
 
1744658429814.png
 
Mwanamke wangu anifokee? kwanza hiyo hali ningeizima alafu ndio mengine yaendelee.

Kuna siku akajishikilisha sim yangu na nilimwambia shika lakini sitak maswali, baada ya hapo maswali yakaanza nahisi alikuwa anatafuta tu sababu ya kulia. Nikatulia tuli akaanza kuongea kwa jazba ili nimjibu alipokosea n kuleta hasira za kizungu, akashika saa yangu akairusha ukutani then akaanza kulia. Nilicheka kile kicheko cha magufuli cha kumsikitikia mtu nkamwambia kwanza kaokote ulichotupa na usirudie tena kufanya huo ujinga utakugharimu. Uzuri ananijua nikishabadilika huyo akaifuata saa, moyoni nacheka kinoma 😂
 
Katika kuishi kwa amani mimi na wake zangu,maana mie nina wake 2 ilibidi kila mmoja nikae nae kutunga kanuni ambazo zinatusaidia sana kuishi kwa amani.Kwa kuwa wake zangu na mimi tunatoka kwenye tamaduni tofauti basi kila mke ana kanuni zake.Mfano kwa mke
wangu mmoja,kuna kanuni hii:
1.Chumbani ni sehemu ya utulivu hivyo wakati wa kulala,kelele haitakiwi,hakuna kuwasha redio,wala tv.Iwapo mmoja wetu anataka kusikiliza redio au kutazama tv basi aende sebuleni.Pia kwa kila mke kuna chumba spea ambacho hutumiwa ama na mimi au mke wangu,ambapo ikitokea tumehitilafiana sana basi ili kuepusha kukuza mgogoro mmoja wetu anahamia kwenye hicho chumba.
Pia tuna kanuni moja ambayo inakataza kugombana mbele ya watoto au wageni.Nikipata nafasi siku moja nitaziandika hapa hizo kanuni.Muhimu ni kwamba tunahitilafiana sana tu lakini hatuzitumii hitilafu hizo kuzua fujo baina yetu
 
Mwanamke wangu anifokee? kwanza hiyo hali ningeizima alafu ndio mengine yaendelee.

Kuna siku akajishikilisha sim yangu na nilimwambia shika lakini sitak maswali, baada ya hapo maswali yakaanza nahisi alikuwa anatafuta tu sababu ya kulia. Nikatulia tuli akaanza kuongea kwa jazba ili nimjibu alipokosea n kuleta hasira za kizungu, akashika saa yangu akairusha ukutani then akaanza kulia. Nilicheka kile kicheko cha magufuli cha kumsikitikia mtu nkamwambia kwanza kaokote ulichotupa na usirudie tena kufanya huo ujinga utakugharimu. Uzuri ananijua nikishabadilika huyo akaifuata saa, moyoni nacheka kinoma 😂
Eti hasira za kizungu😂😂
 
Nimewaza tu,
Mtoto wa mtu arushe Tissot gentleman yangu ukutani!, aiseeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom