lunguzamnazi
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 133
- 159
Nimelisoma vizuri sana rejea na wewe ulivyoreply mara ya kwanza baada ya mimi kupost maana nimejibu kulingana na quote yako ya kwanzasoma bandiko langu ulielewe vizuri
Nimelisoma vizuri sana rejea na wewe ulivyoreply mara ya kwanza baada ya mimi kupost maana nimejibu kulingana na quote yako ya kwanzasoma bandiko langu ulielewe vizuri
Sasa nayeishi mimi na wake zangu ni mimi,na ndoa zangu,moja ina miaka 40 na nyingine 35,unaweza kusema kuwa watu wanaaigiza kwa ndoa za miaka yote hiyo? jambo la muhimu ni kwamba usidhani kuwa unavyowaza wewe,na unavyoishi wewe basi sote tutaishi hivyo,ndoa ni kila mtu anavyoijenga,jinsi wanandoa hao walivyojipanga.Nimelisoma vizuri sana rejea na wewe ulivyoreply mara ya kwanza baada ya mimi kupost maana nimejibu kulingana na quote yako ya kwanza
Kwani nimekusema au nimeandika kuchangia mada bosi wenye ndoa iliyodumu bila mikwazo.Sasa nayeishi mimi na wake zangu ni mimi,na ndoa zangu,moja ina miaka 40 na nyingine 35,unaweza kusema kuwa watu wanaaigiza kwa ndoa za miaka yote hiyo? jambo la muhimu ni kwamba usidhani kuwa unavyowaza wewe,na unavyoishi wewe basi sote tutaishi hivyo,ndoa ni kila mtu anavyoijenga,jinsi wanandoa hao walivyojipanga.
shukranKwani nimekusema au nimeandika kuchangia mada bosi wenye ndoa iliyodumu bila mikwazo.
Hongera mkuu