Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,846
We km manara una kibamia na hudindi 😹😹Ngoja kibamia kikugegede mpaka gafla bin vuuu una ingia period
We km manara una kibamia na hudindi 😹😹Ngoja kibamia kikugegede mpaka gafla bin vuuu una ingia period
Wee umejuaje sidindi...itakuwa basi uliniku alia kukuvua chupi🤣🤣🤣🤣We km manara una kibamia na hudindi 😹😹
Wanawake wangine ukiwaendesha kama unavyofanya hutimia hiyo advantage na kukufanya kitu mbaya.Hoka sio mwanamke anafanya nini,hoja ni uwezo wako na malezi yako kwamba usimpige mwanamke
Wala hujasema uwongo.Tupige goti lipo jibu toka kwa Mungu,
Hapana jina jingne isipokuwa Mungu, 🙏
Muhimu kusali, muhimu kusaliWala hujasema uwongo.
Sometimes ina raha ya ajabu ujue.Hayo mapenzi au wanaimba kwaya? 😹
Hapana fundishaneni wenyewe aiseee..!!
Siwezi kujifunza vitu ambavyo haviniingizii pesa..!!
Shukuru hujakutana na MwajumaUkiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija juu basi mie hunyamaza.
Kuna siku tulikosana na mke wangu Dodoma hotel usiku,alifoka sana lakini mie nilitulia kimya mpaka akajiona mjinga. Somo kubwa ni kwamba huna haja ya kumtukana au kumpiga mwanamke wako,una mahali pa kumchapa hapo ndio mchape sawasawa
Hahaha 😁, kazi ni kwakoHuyu kenge Lamomy naona sasa heshima hamna. Dawa ya kenge ni moja tuu piga mpaka anableed
Kabisa mkuu, tukiwa JF tunajifanya tumetokwa na akili lakini kumbe ni watu wa mungu kwelikweli.Muhimu kusali, muhimu kusali
Hahahahaha humu tunajizima akili bhnKabisa mkuu, tukiwa JF tunajifanya tumetokwa na akili lakini kumbe ni watu wa mungu kwelikweli.
Ndo hivyo aise 😁 ukiwa serious mpaka huku maisha yatakuwa magumu mno.Hahahahaha humu tunajizima akili bhn
😂😂Ndo hivyo aise 😁 ukiwa serious mpaka huku maisha yatakuwa magumu mno.
Ni hivyo.
Unajua bro,kuna namna wewe mwanaume unachangia mpaka mwanamke anatoa maneno kama hayo hivyo naposema sijawahi kumtukana wala kumpiga mwanamke,haiji hivi hivi tu,ni pamoja na kitengeneza mazingira ya kuishi kwa amani,furaha,kuongea,kuzungumza taani kuwa pro active kuleta amani na mara tu dalili ya kutoelewana inapotokea tunazungumza.Maisha sio lelemama yanataka kujitoa na kujitolea kwa hali ya juu.Tukitaka tisitukanane wala kuoigana kwenye ndoa tunaweza japo sio kitu rahisiHujakutana na hii kauli bado
"Nipige basi kama kweli wewe nimwanaume kweli"
Hapo utampiga tu maana ukimuacha wewe sio mwanaume
Unajua bro,kuna namna wewe mwanaume unachangia mpaka mwanamke anatoa maneno kama hayo hivyo naposema sijawahi kumtukana wala kumpiga mwanamke,haiji hivi hivi tu,ni pamoja na kitengeneza mazingira ya kuishi kwa amani,furaha,kuongea,kuzungumza taani kuwa pro active kuleta amani na mara tu dalili ya kutoelewana inapotokea tunazungumza.Maisha sio lelemama yanataka kujitoa na kujitolea kwa hali ya juu.Tukitaka tisitukanane wala kuoigana kwenye ndoa tunaweza japo si
soma bandiko langu ulielewe vizuriKama hajawahi kukwazana na kurushiana maneno then mkasolve ikaisha mkapatana basi jua mnaigiza kupendana