Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

Kuna maisha fulani nilipitia hayakunifanya nikutane nao kabisa, lakini kuna maisha fulani nilipitia yakanifanya nikutane nao. Ndiyo maana nikasema hawa jamaa kukutana nao inategemea na hali ya maisha uliyonayo kwa wakati fulani, hivyo wapo tu

Hali ukimaanisha kifedha mkuu au?
 
Wana usalama wengi humu hasa wale wazalendo wa kweli ukiangalia ID na picha zao ni rahisi kuwagundua, sitazungumza upandewa picha ila ID zao zimechanganya herufi na namba kwa pamoja. Ila usije changanya na zile za kina Mzigua90 ukadhani naye mwanausalama
 
Umenena

Kuwamaki Hawa jamaa ni kama habits kama hizo mfano wanazurura na magari ovyo ovyo halafu wanafanya kazi hazieleweki kipato, mfano unakuta mtu kapanga chini anauza madaftari na peni Chuoni kama ajira yake
Sahihi mkuu harafu wanajua watu walio nao wote ni kondoo wa miaka ya 90 kifikra
 
Nenda ofisi yoyote ya takukulu.

Asilimia 97 ya wafanyakazi wa takukulu ni usalama.
Asante
Uko sahihi pia kwa sababu kuna mmoja namfahamu alishawahi kutuambia kuwa wafanya kazi moja na upelelezi kwa maana ya askari kanzu isipokuwa kuwa wao upelelezi wao upo kwa kina zaidi japo tukichukulia poa kwa sababu ni mtu anafahamika na kila mtu ila kweli naanza kuamini hivyo ila wanapesa sana ila hawana uhuru wa kufanya biashara za kueleweka
 
Wanaishi na wapo,ila ukiwa na circle ya wasomi hta kdgo,utakuta hukosi hata jirani tu unaemfaham,na sio wte ni active km kwny ma movie, wengine ma officer tu deskjob n.k
All in all hawa ni part ya jamii na ndgu zetu tuwapende tu,i hope tetesi za sifa mbaya znazowakumba sku hizi ziwe tetesi isiiwe kweli kwa maslahi mapana ya taifa.
Am ouT'
Ni jamii kwa maana ile ila kwanini nzi na nyuki hawachangamani kwa kiulizo hiki?
 
[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wana usalama wengi humu hasa wale wazalendo wa kweli ukiangalia ID na picha zao ni rahisi kuwagundua, sitazungumza upandewa picha ila ID zao zimechanganya herufi na namba kwa pamoja. Ila usije changanya na zile za kina Mzigua90 ukadhani naye mwanausalama
 
Mkuu kuna mmoja nilikutana nae kilosa na mwingine nilimkuta hai mitaa ya gezaulole mpk naondoka nilimwacha
 
Back
Top Bottom