Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

jukumu la kuilinda nchi na mipaka yake ni la kila mwananchi...hivyo usalama wa Taifa namba moja ni wewe.
 
vip wachawi,umeishawahi kukutana nao??

kamaa unataka kuwajua,fika sehemu anza story za kuihusu serikali,hakikisha ni za kweli,ukisikia swali"wewe hiyo habari umeipata wapi?"ukijibu,ukasikia ameshangaa kama amevutiwa na jibu,muangalie vizuri usoni,uone anafananje.

basi utakuwa umekutana rasmi.
 
Wapo ila ni wadwqnz sio wa kuwahofia km hauna kosa lolote...

Uwezo wao ni tofauti na ule uliousoma kwenye vitabu.

Ugumu wa kazi zao ni tofauti na ulizielekezwa kwenye vitabu...

Suala la usiri lipo ila sio kitaalamu ni vile tu kulingana na mazingira husika ya kazi yenyewe... Hawapo uniform km polisi au jeshi.

Ila wanasaidia ulinzi wa nchi kwa asilimia 45, na sio kwa uweledi wao, bali ni wingi wao.
Wewe unamfahamu hata mmoja?
 
Wapo Kila mahali anaweza kuwa mkeo/mumeo,padri/mchungaji wako sheikh,mwalimu,daktari,polisi,mwanajeshi,pccb,mtendaji kata,mpishi ,machingaa.kichaa,muuza machungwa na karanga,kiongozi wa upinzani,mvuvi,Teja, mhadhiri,mwanafunzi muokota makopo,mfanya usafi jalalani, mfanyakazi wa kujitolea ofisini kwenu, nk.
Cha msingi ishi kwa tahadhari hata wao wenyewe hawajuani zaidi ya MADSO ,RSO au wale wa Ikulu PSU."ULIPO WAPO"
Umejibu vema
 
Ahaaaaa ahaaaa ahaaaaa ahaaaaa ahaaaaa
Kijana.umewahi kukutana na malaika ??
Lakini si umezungukwa na malaika wanaopeleka taarifa zako za kila siku kwa Mungu..na baadhi ya hao malaika wanakulinda unapita na kuingia sehemu tofauti salama.

Sasa hawa wanausalama wapo na wanafanya kazi kama Malaika.ndiyo maana huwaoni.na usikate kuwaona malaika hawa ( Fanya mambo yako)
Njia ya kuwaona we jichanganye sana Fanya mambo mengi yawe mazuri au mabaya we Fanya.jihusishe na watu wenye nyadhifa mbalimbali utajikuta unakuwa nao na utawajua tu kuwa hawa ni 'Malaika wa Nchi:'
Habari wanabodi,

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.

Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.

Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?

Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?

Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?

Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)
 
you cant recognize the devil when you meet him
 
Hawa watu wapo lakini ukiamua kutowafahamu unaweza usiwafahamu kabisa, Maisha ya Tanzania yanashangaza kidogo, ndiyo maana kuna watu wanalia hali ya maisha ni ngumu, kuna ambao wanacheka wanasema maisha mazuri lakini kuna wale wako katikati hawajui kama maisha magumu au mepesi. Ukiwa huku kwetu vijijini umetulia zako na jembe la mkono, unakunywa maji kwenye dimbwi moja na mifugo, mvua zikinyeshe huna barabara ya kupitia kwenda nashineni kusaga, giza likiingia unatumia kijinga cha moto,..ni nadra sana kuwajua watu hawa maana hawana shida kabisa na wewe. Lakini ukiwafuata kwao mfn ukaanza kufunua siri za serikali, ukaua twiga huko serengeti, ukayanena wazi wazi mabaya ya wakubwa, ukatuibia Tanzanite,ukawa na ukwasi wa kupita kiasi nk hao usalama utawajua haraka saana. Hivyo kuwajua inategemea na Hali ya Maisha yako pia na mazingira uliyomo
 
Wapo Kila mahali anaweza kuwa mkeo/mumeo,padri/mchungaji wako sheikh,mwalimu,daktari,polisi,mwanajeshi,pccb,mtendaji kata,mpishi ,machingaa.kichaa,muuza machungwa na karanga,kiongozi wa upinzani,mvuvi,Teja, mhadhiri,mwanafunzi muokota makopo,mfanya usafi jalalani, mfanyakazi wa kujitolea ofisini kwenu, nk.
Cha msingi ishi kwa tahadhari hata wao wenyewe hawajuani zaidi ya MADSO ,RSO au wale wa Ikulu PSU."ULIPO WAPO"
Sasa kama wao wenyewe hawajuani hata hakuna TRAINING inayowaunganisha pamoja? Hivyo vyuo vyao wanavyofundishwwa ujasusi anasoma mmoja mmoja mpaka akimaliza ndio anafundishwa mwingine? Wao kwa wao wanajuana sema ndio hivyo wanaliana ganzi tu.
 
Hawa watu wapo.
Tunaishi nao, kula nao, kunywa nao nk. Ila huwa hawaruhisiwi kujulikana julikana ovyo
Kwa kuwa maadili ya kazi yao hairuhusu wao kujianika.
 
Nikweli mkuu, kumbe kwenye jamii ya wasiopenda elimu hawaishi hawa jamaa?
Wanaishi na wapo,ila ukiwa na circle ya wasomi hta kdgo,utakuta hukosi hata jirani tu unaemfaham,na sio wte ni active km kwny ma movie, wengine ma officer tu deskjob n.k
All in all hawa ni part ya jamii na ndgu zetu tuwapende tu,i hope tetesi za sifa mbaya znazowakumba sku hizi ziwe tetesi isiiwe kweli kwa maslahi mapana ya taifa.
Am ouT'
 
Nenda bar zile kalii za town kuanzia mida ya saa 5 uwa wanaanza kuji tambulisha.
Habari wanabodi,

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.

Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.

Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?

Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?

Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?

Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)
 
Hawa watu wapo lakini ukiamua kutowafahamu unaweza usiwafahamu kabisa, Maisha ya Tanzania yanashangaza kidogo, ndiyo maana kuna watu wanalia hali ya maisha ni ngumu, kuna ambao wanacheka wanasema maisha mazuri lakini kuna wale wako katikati hawajui kama maisha magumu au mepesi. Ukiwa huku kwetu vijijini umetulia zako na jembe la mkono, unakunywa maji kwenye dimbwi moja na mifugo, mvua zikinyeshe huna barabara ya kupitia kwenda nashineni kusaga, giza likiingia unatumia kijinga cha moto,..ni nadra sana kuwajua watu hawa maana hawana shida kabisa na wewe. Lakini ukiwafuata kwao mfn ukaanza kufunua siri za serikali, ukaua twiga huko serengeti, ukayanena wazi wazi mabaya ya wakubwa, ukatuibia Tanzanite,ukawa na ukwasi wa kupita kiasi nk hao usalama utawajua haraka saana. Hivyo kuwajua inategemea na Hali ya Maisha yako pia na mazingira uliyomo
Ahsante, wewe umewahi kukutana nao?
 
Sasa kama wao wenyewe hawajuani hata hakuna TRAINING inayowaunganisha pamoja? Hivyo vyuo vyao wanavyofundishwwa ujasusi anasoma mmoja mmoja mpaka akimaliza ndio anafundishwa mwingine? Wao kwa wao wanajuana sema ndio hivyo wanaliana ganzi tu.
Umeuliza swali zuri mkuu na kwakuongeza Chuo Cha Usalama wa Taifa kiko wapi? Ada zake zikoje?
 
Back
Top Bottom