Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,848
- 209,771
😂😂😂 msalimieNikusaidie baby wangu mmoja wapo Ni huyu Afisa Uchaguzi Kama nadanganya aje apinge
😂😂😂 msalimieNikusaidie baby wangu mmoja wapo Ni huyu Afisa Uchaguzi Kama nadanganya aje apinge
Weee najipenda mie😂😂😂 msalimie
Kama wewe ni raia wa kawaida sio rahis kuwajua, ila kifupi ni kwamba wawezi kujitambulisha hata kama kuna Fujo sehemu hawezi kujitokeza kwenye Kundi la watu akasema mm ni flani...kuna wengine wanaofanya Kaz katika taasis za serikali kama mabenki, halmashaur, mashirika ya kiserikali,mahakamani, mahosptalini, idara za mifugo ,kilimo nk..wapo field muda wote .Habari wanabodi,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.
Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.
Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?
Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?
Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?
Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)
Halafu Jana nilipishana na Vx moja Ina plate namba imeandikwa UT sio hao usalama wa Taifa kweli?Ukiona gari Nissan Patrol halina Bandiko Lolote mbele ya kioo basi ndani kuna watu wasiojulikana,wasimamishe usalimiane nao uwajue.
Sina uhakika mkuu....wao wana namba za kawaida sema ndio kwenye vioo hakuna bandiko lolote.Halafu Jana nilipishana na Vx moja Ina plate namba imeandikwa UT sio hao usalama wa Taifa kweli?
UT ni uhamiaji tanzaniaHalafu Jana nilipishana na Vx moja Ina plate namba imeandikwa UT sio hao usalama wa Taifa kweli?
Sawa kesho nitakwenda kuwashuhudia na kuwaulizaKama wewe ni raia wa kawaida sio rahis kuwajua, ila kifupi ni kwamba wawezi kujitambulisha hata kama kuna Fujo sehemu hawezi kujitokeza kwenye Kundi la watu akasema mm ni flani...kuna wengine wanaofanya Kaz katika taasis za serikali kama mabenki, halmashaur, mashirika ya kiserikali,mahakamani, mahosptalini, idara za mifugo ,kilimo nk..wapo field muda wote .
Hivyo umewahi kukutana nao Mara nyingi ukitaka siku moja nenda ofs ya Dc ukiona Nissan yyte nyeupe...watakaoingia humo ujue ndo wenyewe .
SawaUT ni uhamiaji tanzania
Daah"umeua kaka sema sikuhizi naona wamekua wajanja janjaWanavitambi flan hivi na miwani pia wanatumia tecno boom
Daah"umeua kaka sema sikuhizi naona wamekua wajanja janja
Mtumishi wa TISS ktk ubora wako!Habari wanabodi,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia habari kuhusu idara ya Usalama wa Taifa, nilivutiwa kuwafahamu hawa watu, nimesoma vitabu vingi na makala nyingi kuhusiana na watu hawa ila sijawahi kukutana nao katika maisha yangu.
Namaanisha sijawahi kukutana nao ana kwa ana, nasikia wapo kila sehemu nimetembea sehemu nyingi ila sijawahi hata kuhisi kuwa fulani ni Afisa usalama wa taifa.
Kuna wachache nilisikia wakitambulishwa kuwa ni watumishi wa TISS ila ni wale wenye nyadhifa kubwa mf. Mh Diwani Athumani (inasemekana hata kamanda Siro alikuwa hajui kuwa huyu bwana ni TISS) hapo nikachanganyikiwa zaidi hii inakuwaje?
Hawa watu wapo kweli au ni nafasi za kusadikika ambazo zinafanya watu waishi kwa nidhamu na kuheshimiana sababu hatujui nani ni nani?
Kama kweli wapo kwenye nchi hii basi watakuwa na mafunzo ya hali ya juu na maadili maana nadhani kwa jinsi nilivyotafuta taarifa zao ningekuwa nimemfahamu hata mmoja tu bila kuambiwa na mtu, wewe unamfahamu?
Nani alikwambia? (Achana na wale tunaowaona wakimlinda Mh Rais, nataka kujua hawa tunaoishi nao)
Hiyo Ni Uhamiaji Tanzania mkuuHalafu Jana nilipishana na Vx moja Ina plate namba imeandikwa UT sio hao usalama wa Taifa kweli?
Sijuti Hawa jamaa Ni wa pole saaana... Hata akikukemea kwa ukali utaona roho ya unyenyekevu ndani yao.. humu jf wanatajwa kwa code ya vipepeo weusi... Wapo wengi saana ila nilishangaaa kukuta nao wanasare yao ya bakabaka chirizi nyembamba... Sijui Ni muda gani hujivika roho ya chatu na kutenda Yale wanayo hisiwa Kama kumlimboka kucha mtu, kusaa nane watu... Au hata ku kolimba watu ikibidi Kama alivyotendewa Filikunjombe.... I trust in them